gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Tube dalili basi wapi bibilia uharo inasema hilo ni taifa? Usitulete story ya Yakobo ambaye jina lake lingine ni Israel kwamba atalindwa na Mungu hata bibilia zenu zilichapishwa hakuna taifa linaitwa Israel, labda hizo fake mpya mbadilishe muweke nchi hahaEndelea kuota kama siku moja hilo taifa litakuja kufutika
Ulokole na Uyahudi wapi na wapi, huwa mnajitoa akiliEndelea kuota kama siku moja hilo taifa litakuja kufutika
Na sasa US hana tena stock ya silaha, kamuonya ukienda na Hizbullah ni kivyako, haya ndio matokeo sasa anarusha moto maporiniHao bila US, UK. France. Germany na badhi ya nchi za Nato wangeisha safishwa zamani hapo Middle East wangerudi walipo tokea.
Israel kanyagia hapo hapo usilegeze mifuasi ya mudi ishaanza kuelewaNa sasa US hana tena stock ya silaha, kamuonya ukienda na Hizbullah ni kivyako, haya ndio matokeo sasa anarusha moto maporini
Sasa wanasubiri nini kuwafurusha wakimbie kwa miguu? Mimi nadhani badala ya kuandika andika wangetumia muda huu ambao wameishiwa silaha kuwavamia na kuwafurumushaKutegemea Us ndio awape silaha kupigana na vikundi vya wanamgambo, taifa teule limeanza kuishiwa silaha za msaada, na sasa wameaanza kutumia silaha za zama za mawe.
Huyu bila msaada wa US angeshakuwa ameliwa kiboga zamani sana
View: https://www.youtube.com/watch?v=j9MgjZ2sLQM
Una bando au nikutumie na ya kutolea, uone kinachojiriIsrael kanyagia hapo hapo usilegeze mifuasi ya mudi ishaanza kuelewa
Unatokea pori gani?Sasa wanasubiri nini kuwafurusha wakimbie kwa miguu? Mimi nadhani badala ya kuandika andika wangetumia muda huu ambao wameishiwa silaha kuwavamia na kuwafurumusha
Wafuasi wa mudi mbakaji wanangamia apo gaza nyie endeleeni kuona israel wanatania
Washaanza tumia mishale.Baadae wataanza kutumia manati.
Kwa hiyo hautaki ushauri wangu wa kuhakikisha Israel wanafurumushwa na kupakimbia hapo huku pakisambaratishwa na kuwa kama Gaza?Unatokea pori gani?
Acha kutumia freebasic, weka bando uangalie yanayojiri