Israel wafanya shambulizi jipya Gaza na kuua watu 300

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Wakuu,

Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa Gaza, likisema linashambulia ngome za Hamas. Wizara ya Afya ya Hamas imeripoti vifo vya watu 330.

Mashambulizi yalianza alfajiri wakati wa daku, yakilenga Gaza City, Rafah, na Khan Younis. Israel imesema operesheni hiyo ni kujibu kukataa kwa Hamas kuachilia mateka na kukubali mapendekezo ya mazungumzo.

Hamas imeituhumu Israel kwa kusaliti makubaliano ya kusitisha mapigano na kuhatarisha maisha ya mateka waliobaki Gaza. Hata hivyo, haijatangaza rasmi kurejea vitani, ikitaka Umoja wa Mataifa na wawezeshaji wa mazungumzo kuingilia kati.

Taarifa kutoka Ikulu ya Marekani zinasema Israel ilishauriana na serikali ya Rais Donald Trump kabla ya mashambulizi hayo.

IMG_1907.jpeg

​
====================================================================
​
The Israeli military says it is carrying out "extensive strikes" in the Gaza Strip, with the Hamas-run health ministry reporting that at least 330 Palestinians have been killed.

The Israel Defense Forces (IDF) said it was targeting what it called "terror targets" belonging to Hamas.
Mahmoud Abu Wafah, the deputy interior minister in Gaza and the highest-ranking Hamas security official in the territory, has reportedly been killed in a strike.

This is the largest wave of airstrikes in Gaza since the ceasefire began on 19 January. Talks to extend the Gaza ceasefire have failed to reach an agreement.

Many people were having their pre-dawn meal, due to it being the holy month of Ramadan, when explosions started in Gaza, witnesses say.

More than 20 Israeli war planes flew over, they said. The planes then began to hit targets in Gaza City, Rafah and Khan Younis.

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and Defence Minister Israel Katz ordered the strikes on Tuesday morning, according to a statement from the PM's office.

"This follows Hamas's repeated refusal to release our hostages, as well as its rejection of all of the proposals it has received from US Presidential Envoy Steve Witkoff and from the mediators," it said.

Source: BBC Swahili
 
Baada ya Israel kufanya jitihada kubwa kufanikisha zoezi la kubadirishana Mateka na wafungwa huko Gaza na kukwamisha na viongozi waandamizi wa Hamas leo hii Jeshi la Israel limeamua kuwa huku Lia hatia kali za kinidhamu viongozi hao wa Hamas kwa kuwauwa
Ikumbukwe Israel imejitolea sana kuwaachia magaidi walijua watu kwa kubadirishana na Mateka wasi na hatia waliotekwa na magaidi hao Oct 07,2023
 
Attachments

  • IMG_1904.jpeg
    IMG_1904.jpeg
    201.5 KB · Views: 40
  • IMG_1346.mp4
    5.4 MB
Israel ni wendazimu na spoilt children wa Marekani. Hawana utu Wala ustaraabu!

Unajiuliza kwanini Europe walitaka kuwamaliza wote? Kwanini muda wote wao wanataka kumalizwa?

Sasa nimegundua shida yao! Ni wajivuni, manipulative na barbaric!

Huwezi kupata Kila kitu your way! Extermination of Jews will happen again! Inawezakana within 100 years! Sio kwa ukatili huu? Unadhani watu wanafurahishwa?
 
Israel ni wendazimu na spoilt children wa Marekani. Hawana utu Wala ustaraabu!

Unajiuliza kwa Europe walitaka kuwamaliza wote? Kwanini muda wote wao wanataka kumalizwa?

Syria wakiuana hakuna Habari, as we speak Hezbollah na Serikali mpya ya Syria wako vitani na vita ya kinyama
 
Israel ni wendazimu na spoilt children wa Marekani. Hawana utu Wala ustaraabu!

Unajiuliza kwa Europe walitaka kuwamaliza wote? Kwanini muda wote wao wanataka kumalizwa?

Sasa nimegundua shida yao! Ni wajivuni, manipulative na barbaric!

Huwezi kupata Kila kitu your way! Extermination of Jews will happen again! Inawezakana within 100 years! Sio kwa ukatili huu? Unadhani watu wanafurahishwa?
Quran yenu ndiyo inawadanganya na kuwaponza. Wakowapi wale Kamasi waliokuwa wakijigamba na mayunifomu wakati ule wa kubadilisha mateka wa Israel na wafungwa wa Kamasi?
 
Israel ni wendazimu na spoilt children wa Marekani. Hawana utu Wala ustaraabu!

Unajiuliza kwa Europe walitaka kuwamaliza wote? Kwanini muda wote wao wanataka kumalizwa?

Sasa nimegundua shida yao! Ni wajivuni, manipulative na barbaric!

Huwezi kupata Kila kitu your way! Extermination of Jews will happen again! Inawezakana within 100 years! Sio kwa ukatili huu? Unadhani watu wanafurahishwa?
Ujinga mtupu mnawafanya watoto kuwa kinga yenu? Oct 07,2023 Hamas walifanya unyama wa kutisha Israel imeanza kujibu mnaanza kulialia na kusingizia watoto!! Acheni upuuzi magaidi lazima tu wafyekwe popote walipo!!
 
Israel ni wendazimu na spoilt children wa Marekani. Hawana utu Wala ustaraabu!

Unajiuliza kwa Europe walitaka kuwamaliza wote? Kwanini muda wote wao wanataka kumalizwa?

Sasa nimegundua shida yao! Ni wajivuni, manipulative na barbaric!

Huwezi kupata Kila kitu your way! Extermination of Jews will happen again! Inawezakana within 100 years! Sio kwa ukatili huu? Unadhani watu wanafurahishwa?
Hujaona ukatili wa Hamas Oct 7 dhidi ya Israeli?!
Chuki imekupofua
 
Wakuu,

Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa Gaza, likisema linashambulia ngome za Hamas. Wizara ya Afya ya Hamas imeripoti vifo vya watu 330.

Mashambulizi yalianza alfajiri wakati wa daku, yakilenga Gaza City, Rafah, na Khan Younis. Israel imesema operesheni hiyo ni kujibu kukataa kwa Hamas kuachilia mateka na kukubali mapendekezo ya mazungumzo.

Hamas imeituhumu Israel kwa kusaliti makubaliano ya kusitisha mapigano na kuhatarisha maisha ya mateka waliobaki Gaza. Hata hivyo, haijatangaza rasmi kurejea vitani, ikitaka Umoja wa Mataifa na wawezeshaji wa mazungumzo kuingilia kati.

Taarifa kutoka Ikulu ya Marekani zinasema Israel ilishauriana na serikali ya Rais Donald Trump kabla ya mashambulizi hayo.

====================================================================
​
The Israeli military says it is carrying out "extensive strikes" in the Gaza Strip, with the Hamas-run health ministry reporting that at least 330 Palestinians have been killed.

The Israel Defense Forces (IDF) said it was targeting what it called "terror targets" belonging to Hamas.
Mahmoud Abu Wafah, the deputy interior minister in Gaza and the highest-ranking Hamas security official in the territory, has reportedly been killed in a strike.

This is the largest wave of airstrikes in Gaza since the ceasefire began on 19 January. Talks to extend the Gaza ceasefire have failed to reach an agreement.

Many people were having their pre-dawn meal, due to it being the holy month of Ramadan, when explosions started in Gaza, witnesses say.

More than 20 Israeli war planes flew over, they said. The planes then began to hit targets in Gaza City, Rafah and Khan Younis.

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and Defence Minister Israel Katz ordered the strikes on Tuesday morning, according to a statement from the PM's office.

"This follows Hamas's repeated refusal to release our hostages, as well as its rejection of all of the proposals it has received from US Presidential Envoy Steve Witkoff and from the mediators," it said.

Source: BBC Swahili
Walikuwa wanawadharirisha mateka wakati wa kuuuwaachia, waliatafita umaarufu kupitia mateka.
Ngoja wapambane ,ila wajue aliye nyuma ya Israel siyo Baiden ni myahudi mhamiaji kutoka Ujerumani mashariki. (Babu yake)
Watakapokubali watapewa masharti magumu sana, ili wakatae wakikataa lengo la Israel na Trump linatimia, lazima wapalestina wahamishwe Gaza.
Kwa sababu siku zijazo watu wa Gaza hawatakuwa na dawa, chakula na mahitaji muhimu, kwa ni vyote hivyo wanategemea misaada na nilazima Israel aruhusu.
Kelele za jumuia ya kimataifa hazitasikilizwa tena.
Hamasi zingatieni sana hilo.
 
Watu 300 ni wengi Sana aisee, Kwa mahesabu ya harakaharaka hii idadi ya vifo ni sawa na wale wafungwa walioachiwa huru kutoka magereani yaani hapa kichofanyika wanawatoa magereani alafu wanakuja kuwauwa uraiani.

Hamas kama wangekuwa Wana Akili timamu wangekubali Tu kuweka silaha chini
 
Hamas si mazimwi hawawezi kukubali mpaka wauliwe tu ili kwa Imani yao wakifa wakipigana na wayahudi huko ahera watapewa Mabikira 72 wawabikiri!! Shida yao kubwa ni namna ya kuwafikia wale Mabikira 72 walioahidiwa na Mudi!!
 
1000028934.png

Takriban watu 404 wakiwemo watoto wameuawa katika mashambulizi mapya ya Israel katika ukanda wa Gaza. Maamuzi haya yanasambaratisha makubaliano ya usitishaji wa mapigano. Idadi iliyotolewa na Wizara ya Afya inayoongozwa na Hamas inatarajiwa kuongezeka huku watu wengi wakisalia chini ya vifusi vya majengo yaliyoshambuliwa kwa mabomu.

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema ilibidi kuchukua uamuzi huo baada ya kuona hakuna mwenendo mzuri wa mazungumzo kati yao na Hamas.

Source: Al-Jazeera
 
Baada ya Israel kufanya jitihada kubwa kufanikisha zoezi la kubadirishana Mateka na wafungwa huko Gaza na kukwamisha na viongozi waandamizi wa Hamas leo hii Jeshi la Israel limeamua kuwa huku Lia hatia kali za kinidhamu viongozi hao wa Hamas kwa kuwauwa
Ikumbukwe Israel imejitolea sana kuwaachia magaidi walijua watu kwa kubadirishana na Mateka wasi na hatia waliotekwa na magaidi hao Oct 07,2023

Magaidi yalikuwa yamekusanyika kwenye Daku 😆😁
Daku ilikuwa inawapa mzuka wa kupanga mipango ya kigaidi,sura zao tu ni ugaidi tosha.
 
Back
Top Bottom