Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hii nayo inafikirisha...Iran Kazuima internet.watu(wengi) hawana access na internet hivyo kuweza kupost kile kinatokea.
ni kama vile ilitokeq 29 Tanzania.
Israel internet ipo active na tunaona watu wakipiga picha ila ajabu dunia inalamishwa kuaminishwa kuwa yule aliyewasha internet nchini mwake ndiye anaficha habari ile yule aliyezima internet ndiyo Muwazi.
hakika dunia ni Mali ya shetani.
na tukionyesha mashaka na topic zenu mnasema tunapinga kwasababu hatuna Elimu ya Geopolitic.Hii nayo inafikirisha...
Very good observation!Iran Kazuima internet.watu(wengi) hawana access na internet hivyo kuweza kupost kile kinatokea.
ni kama vile ilitokeq 29 Tanzania.
Israel internet ipo active na tunaona watu wakipiga picha ila ajabu dunia inalamishwa kuaminishwa kuwa yule aliyewasha internet nchini mwake ndiye anaficha habari ile yule aliyezima internet ndiyo Muwazi.
hakika dunia ni Mali ya shetani.
Wewe mzee Iran sio nchi ya kiarabu wale ni waajemiTaarifa nyingine ni kwamba Iran safari hii kashambulia zaidi waarabu wenzie kuliko alivyoishambulia Israel
Wewe ulijuaje kama watu wa Iran walishangilia baada ya kuuawa kwa kiongozi wao ikiwa umesema media haziruhusiwi kureport matukio yake??Iran hata vyombo vya habari vya kimataifa haviruhusiwi sasa taarifa ya ukweli itapatikanaje.
Alivyouawa dikteta Ayatollah kuna watu wengi nchini Iran walishangilia sana lakini haikuweza kuonyeshwa ila kinachoonyeshwa ni mkusanyiko wa watu eti wanaoiunga mkono serikali.
Lakini kwa hili hamna cha kushangaza kwani nchi za kidikteta ndivyo zilivyo kote duniani hata hapa Tanzania waga tuyaona hayo.
Kwa waarabu kashambulia zaidi rada na mifumbo ya ulinzi iliyokuwa inatumika kutoa taarifa kwa israel kila makombora yakirushwa kutoka irani ili yadunguliwe kwa urahisi!! Baada ya rada kusambaratishwa uarabuni sasa hivi israeli inabondwa haswa na uwezo wa kuyadungua umepunguwaTaarifa nyingine ni kwamba Iran safari hii kashambulia zaidi waarabu wenzie kuliko alivyoishambulia Israel
kashambulia waarabu au kapiga kambi la 🇺🇸 ??Taarifa nyingine ni kwamba Iran safari hii kashambulia zaidi waarabu wenzie kuliko alivyoishambulia Israel
We jamaa nani anakulipa kusema uongo!?Iran hata vyombo vya habari vya kimataifa haviruhusiwi sasa taarifa ya ukweli itapatikanaje.
Alivyouawa dikteta Ayatollah kuna watu wengi nchini Iran walishangilia sana lakini haikuweza kuonyeshwa ila kinachoonyeshwa ni mkusanyiko wa watu eti wanaoiunga mkono serikali.
Lakini kwa hili hamna cha kushangaza kwani nchi za kidikteta ndivyo zilivyo kote duniani hata hapa Tanzania waga tuyaona hayo.
Iran imenikimbusha kuna jamaa mmoja alikuwa mhuni na mwenye mikwala sana. Sasa Dogo mmoja alimwambia najua utanipiga lakini nitakupiga mawe mpaka utawacha tabia yako ya kibabe.Iran kapigika sana
Kosa la Iran kuwaachia hawa wanao jifanya waandishi wa habari lakini kihalisia ndio majasusi wenyewe. Ndio maana Israel hakubali kutoa hio ruhusa anajua watakuja mpaka majasusi na kutoa location muhimu za kushambuliwa.We jamaa nani anakulipa kusema uongo!?
Iran wapo CGTN na Al Jazeera correspondents hadi sasa wakieusha video na picha ya yanayoendelea Iran,hadi BBC wapo.
Israel kinyume chake imeshakamata waandishi wanne wa CNN kwa kupiga picha.
Kinyume chake ni kwamba Israel anazuia hadi waandishi wake mwenyewe wa habari kutoa habari.Kosa la Iran kuwaachia hawa wanao jifanya waandishi wa habari lakini kihalisia ndio majasusi wenyewe. Ndio maana Israel hakubali kutoa hio ruhusa anajua watakuja mpaka majasusi na kutoa location muhimu za kushambuliwa.
Unajua kama Bahrain ina Base kubwa sana ya kijeshi pale?. Angeliiwacha marekani ana sehemu ya kufikisha silaha zake kirahisi na kufanya mashambulizi kwa haraka.Taarifa nyingine ni kwamba Iran safari hii kashambulia zaidi waarabu wenzie kuliko alivyoishambulia Israel
Mbona unaongea kiujumla sana...Sina shirika na mtu yeyote yule kwenye kuwaza kwangu.na tukionyesha mashaka na topic zenu mnasema tunapinga kwasababu hatuna Elimu ya Geopolitic.