msikiti una kosa gani?Ilikua kosa kubwa sana kuua Wayahudi, jamaa wameamua hamna kinachosalia...
Damage to al-Omari Mosque in Gaza City from Israel-Hamas war, on December 8, 2023. (Screen capture/X)
New footage shows the massive extent of damage to the historic al-Omari Mosque in Gaza City.
Palestinian media says the mosque has been hit repeatedly by Israeli fire.
The IDF has not commented on such allegations.
Ukiona wanafikia mpaa kuvunja Misikiti basi ujuwe wazi kuna habari mbaya sana kuhusu wao na habari ni hi jana usiku Allah Akbarii ..takibiriiii..takbiriij
Kilichotokea katika kambi ya Jabalia usiku wa leo ni zaidi ya mawazo katika sayansi ya kijeshi na zaidi ya hapo.
Ukitazama vipande vya video vitakavyokufanya uishi kwa mshangao kwa akili na ujanja wa Kikosi cha Al-Qassam, ambacho kilifanikiwa kuyapita majeshi na utaalamu wa nchi za Magharibi.
Israel lazima atakimbia Gaza hana hila, ndio unaona hasira zake zimeishia mpaa kuvunja musikiti 😄

Israel lazima atakimbia Gaza hana hila, ndio unaona hasira zake zimeishia mpaa kuvunja musikiti [emoji1]
😄 hamna lolote alidhani kuvunja majumba na Hospital ndio kashinda vita, atakimbia huyo again mda sii mrefuisrael hii wiki huko Gaza ilikuwa ni show show, hakiachwi kitu mpaka nzi anashughulikiwa.
Hivi mliona kipigo mlicho pelekewa jana, na bado mtakimbia Gaza wengine mpaa wamekuwa vipofu kwa pressure wanazo zipata hawalali kuogopa Hamasi wasije ripua 😄Sehemu yoyote unayojificha huku ukishambulia Wayahudi lazima pasambaratishwe....
Msikiti walidhani hio ni Central command au 😄Hii vita ni mbaya.
Huu msikiti ni mojawapo ya target
Kweli Israel lazima atakimbia Gaza, hamas ni hatari sana.Ukiona wanafikia mpaa kuvunja Misikiti basi ujuwe wazi kuna habari mbaya sana kuhusu wao na habari ni hi jana usiku Allah Akbarii ..takibiriiii..takbiriij
Kilichotokea katika kambi ya Jabalia usiku wa leo ni zaidi ya mawazo katika sayansi ya kijeshi na zaidi ya hapo.
Ukitazama vipande vya video vitakavyokufanya uishi kwa mshangao kwa akili na ujanja wa Kikosi cha Al-Qassam, ambacho kilifanikiwa kuyapita majeshi na utaalamu wa nchi za Magharibi.
Israel lazima atakimbia Gaza hana hila, ndio unaona hasira zake zimeishia mpaa kuvunja musikiti 😄
Kweli Israel lazima atakimbia Gaza, hamas ni hatari sana.
Kuna muda natamani hiko kipande cha Israel na Palestine kizame na kipotea kwenye ramani ya dunia ilituishi kwa amani.Ilikua kosa kubwa sana kuua Wayahudi, jamaa wameamua hamna kinachosalia...
Damage to al-Omari Mosque in Gaza City from Israel-Hamas war, on December 8, 2023. (Screen capture/X)
New footage shows the massive extent of damage to the historic al-Omari Mosque in Gaza City.
Palestinian media says the mosque has been hit repeatedly by Israeli fire.
The IDF has not commented on such allegations.
Tayari mateka wamejulikana walipo, jana walijaribu kuwaokoa wakapata upinzani mkali sana,idf wawili walijeruhiwa, magaidi wawili waliuwa. Idf inajipanga upya. Ni swala la muda tu.Ukiona wanafikia mpaa kuvunja Misikiti basi ujuwe wazi kuna habari mbaya sana kuhusu wao na habari ni hi jana usiku Allah Akbarii ..takibiriiii..takbiriij
Kilichotokea katika kambi ya Jabalia usiku wa leo ni zaidi ya mawazo katika sayansi ya kijeshi na zaidi ya hapo.
Ukitazama vipande vya video vitakavyokufanya uishi kwa mshangao kwa akili na ujanja wa Kikosi cha Al-Qassam, ambacho kilifanikiwa kuyapita majeshi na utaalamu wa nchi za Magharibi.
Israel lazima atakimbia Gaza hana hila, ndio unaona hasira zake zimeishia mpaa kuvunja musikiti 😄
ni maficho ya magaidimsikiti una kosa gani?
unaotaKweli Israel lazima atakimbia Gaza, hamas ni hatari sana.
Kuna muda natamani hiko kipande cha Israel na Palestine kizame na kipotea kwenye ramani ya dunia ilituishi kwa amani.
Poleni kijanaTayari mateka wamejulikana walipo, jana walijaribu kuwaokoa wakapata upinzani mkali sana,idf wawili walijeruhiwa, magaidi wawili waliuwa. Idf inajipanga upya. Ni swala la muda tu.