Israel ya kale ilitawaliwa kidini, mfalme hakwenda vitani bila kibali cha Mungu, tawala zinazoongozwa kidini sasa wanatumia utaratibu gani!?

Israel ya kale ilitawaliwa kidini, mfalme hakwenda vitani bila kibali cha Mungu, tawala zinazoongozwa kidini sasa wanatumia utaratibu gani!?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu

Israel ya kale ilitawaliwa kidini, mfalme hakwenda vitani bila kibali cha Mungu, tawala zinazoongozwa kidini sasa wanatumia utaratibu gani!?

Usiku mwema
 
kwa sasa Mungu amewaacha kabisa mpaka injilli Yesu akataliwe tena kwa mataifa injili irudi israel, tena . ibada za kafara kwenye hekalu zirudi waanze upya kuutafuta uso wa MUNGU. wao wenyew wanajua Mungu amewaacha mpaka watakapoanza ibada rasmi kwenye hekalu lililojengwa msikiti . wanapambana wauvunje ili wamuone Mungu tena
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu

Israel ya kale ilitawaliwa kidini, mfalme hakwenda vitani bila kibali cha Mungu, tawala zinazoongozwa kidini sasa wanatumia utaratibu gani!?

Usiku mwema
Subiri Mungu atakuja kukujibu hapa. Kama siye aliyempa Netanyahu kibali basi mamlaka za vibali ziwajibike
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu

Israel ya kale ilitawaliwa kidini, mfalme hakwenda vitani bila kibali cha Mungu, tawala zinazoongozwa kidini sasa wanatumia utaratibu gani!?

Usiku mwema
Safi sana!

Daudi akauliza kwa BWANA, akasema, Je! Nikiwafuata jeshi hili, nitawapata? Naye akamjibu, Fuata; kwa kuwa hakika utawapata, nawe hukosi utawapokonya wote.
 
Daudi alikuwa anaongea na BWANA kama anaongea na rafiki yake yanapokuja mambo magumu ya kitaifa - vita, ukame/njaa, maradhi, etc. Wafalme wa Israel walikuwa wanatafuta kibali cha BWANA kwanza!
 
Sema watu hawaelewagi Toka Israil walipo mkataba Yesu hawawezi kuwa na amani tena
 
Back
Top Bottom