Hakuna linaloshindikana mbele ya Allah, haijalishi una udogo kiasi gani kukiwa na mkono wa Allah utawashinda wakubwa wanaoungana kukuchangia, Israel ni ka nchi kadogo lakini imeweza kuushangaza ulimwengu mara kadhaa ikiwemo kuzitandika nchi tano kubwa za kiarabu ndani ya siku sita tu, kinachoendelea kwa sasa Israel imewamaliza Rais wa Ira, Kiongozi wa Hamas, Kiongozi wa Hezbollah, Kulipua maadui kwa pager, n.k.
Bani Israel (Makabila 12 yaliyoishi ardhi ya Israel) imetajwa mara nyingi sana kwenye Quran, zaidi ya Mara 40, hakuna sehemu yoyote imetaja Palestina.
Allah anakiri kuitambua ardhi waliyoishi Bani Israel na kuwapa baraka zake, hakuna ardhi waliyoiba ama kukaa kimabavu, Hakuna sehemu yoyote imetaja Palestina ama makoloni yaliyowahi kuikalia ardhi hio kama Ottoman, British Mandate, n.k.
Waisrael walifurushwa kwenda utumwani ulaya na hapo badae wakaanza kurudi kwao kama ilivyokuwa baada ya kutumikishwa muda mrefu Misri, Quran inawaita wayahidi Bani Israel ikiwaambua ni muunganiko wa makabila 12 ya Israel, haijaishia hapo Quran inatambua kwamba Allah aliwapa wayahudi hati ya ardhi ya kuishi.
Wanavyorudi waliikuta ardhi ni koloni la Uingereza linaloitwa Palestine, Kulikuwa na wayahudi wachache waliobaki, wengi walikuwa waarabu waliohamia vipindi ambavyo ardhi ilikuwa chini ya himaya nyingi za kiarabu.
Wayahudi walikubaliana na hio hali kukuta wageni kwenye ardhi yao lakini waarabu walikuwa wanapinga wayahudi kurudi kwenye ardhi yao iliyotambulika na Allah, kulikuwa na mvutano sana + wayahudi kushambuliwa ikafikia kipindi umoja wa Mataifa ukaleta muswada wa kuunda mataifa mawili ya Palestina kwajili ya waarabu na Israel kwajili ya wayahudi.
Waarabu wa Palestina waliukataa huo muswada, walitaka ardhi yote iwe yao, Ndipo vita ya Israel na Palestina ilipoanzia lakini kwa baraka za Allah, Israel imekuwa ikipokea baraka za ushindi kadri muda unavyozidi kwenda.