Israel ya Wayahudi inatambulika kwenye Quran zaidi ya mara 40, Wayahudi wana haki ya kulinda eneo lao

Israel ya Wayahudi inatambulika kwenye Quran zaidi ya mara 40, Wayahudi wana haki ya kulinda eneo lao

Hakuna sehemu Qur'an inaongelea taifa linaitwa Israel wacha uwongo, Qur'an inaongelea Bani Israel watoto wa Israel kwa hio mtu akisema watoto wa flani ndio nchi 😄 Kondoo mlio potea noma sana ardhi mlio ahadiwa ni wapi kama sio Saud Arabia. Mussa alienda wapi si alipita Red Sea kuna Red Sea kati ya Israel na Egypt 😄
Unafaham mipaka ya the great Israel ilitakiwa kuwa wapi mkuu. Na hao ban Israel wako wapi na kwao ni wap
 
Mbona mmekazana sana na Ashkenazi lakin jews wapo Iran Azerbaijan uarabun kote wapo na wengi wamerud Israel hao unawasemeaje.
Tatizo we bado huelewi nilicho kueleza sio Bani Israel wote dini yao Yahudi, wako wa kristo, na Waislam pia.

Kuna tofouti kati ya Yahudi ambayo ni dini, na kuwa mtoto wa Yakobo. Unaweza kukuta mwarabu lakini ni Yahudi au Mwafrica pia Yahudi sio asili yao ni Wayahudi, ni dini yao Yahudi. Na unaweza kukuta Wayahudi dini zao ni Waislam unaona tofauti hapo.

Kwa hio sio kizazi cha Yakobo wote ni Yahudi wako wakristo na wako Waislam na walio okoka ni Waislam katika hao mfano kina Mussa na Yesu
 
Tatizo we bado huelewi nilicho kueleza sio Bani Israel wote dini yao Yahudi, Ukristo wapo Waislam pia.

Kuna tofouti kati ya Yahudi ni dini na kuwa mtoto wa Yakobo. Unaweza kukuta mwarabu lakini ni Yahudi au Mwafrica sio asili yao ni Wayahudi ni dini yao Yahudi. Na unaweza kukuta Wayahudi dini zao ni Waislam unaona tofauti hapo.

Kwa hio sio kizazi cha Yakobo wote ni Yahudi wako wakristo na wako Waislam na walio okoka ni Waislam katika hao amnao kina Mussa na Yesu
Lakin tunabaki pale pale kuwa wapo jews original mpaka leo. Na ukikuta hao original ndio wanapigania uwepo wa Israel utawasapoti
 
Lakin tunabaki pale pale kuwa wapo jews original mpaka leo. Na ukikuta hao original ndio wanapigania uwepo wa Israel utawasapoti
Huelewi bado Yahudi.ni dini ipo tokea wakati wa Hud ndio asli yao wapo uarabuni lakini bani Israel hili ni jina la watoto wa Yakobo,na Yakobo alitwa Israel kwa kuwa ni mfata dini sana ya Mungu,

Kwa hio uarabuni wako wayahudi tele kama vile Ethopia sa ajabu ipo wapi.
 
Hujanielewa sheikh. Nasema hiv. Hawa ban israel wako wapi na ilikuwaje leo wanatumia lugha yao popote dunian ukiwakuta
 
Lakin tunabaki pale pale kuwa wapo jews original mpaka leo. Na ukikuta hao original ndio wanapigania uwepo wa Israel utawasapoti
Wapo hatukatai nani kasema dini ya Kiyahudi haipo uarabuni, nenda Yemen wako warabu dini yao ni Wayahudi, wako Saud Arabia pia wengine wanajidai waislamu na kutumia majina ya kislam lakini asili zao warabu dini yao ni Yahudi, Morocco, Iran wapo hio ni dini sio asili lakini asili ya dini ya Jews sio Bani Israel wao asili yao ni kutoka kwa Hud ndio mana walitwa Yahudi.

Hio Bani Israel sio dini au Israel sio dini tumia akili ili ufahamu unapo fahamishwa. Israel= Yakobo wala sio nchi na Bani Isreal=Watoto wa Yakobo wako Waislam, Wakristo, Wayahudi

Kule Lebanon mmepokea kichapo na Tela Aviv kunawaka moto, niliwambia huyu Saif Din ni balaa hana huruma Israel watamkumbuka Nasurlah nyie tulieni tu.
 
Hujanielewa sheikh. Nasema hiv. Hawa ban israel wako wapi na ilikuwaje leo wanatumia lugha yao popote dunian ukiwakuta
Muislam akiongea kiarabu si lazima awe mwarabu, na mwafrica akiongea kizungu si lazima awe mzungu na kueleza mara ngapi hutaki kufahamu, unaweza kuongea lugha hio ya kiyahudi kwa kuwa uliishi na wayahudi au kwa kuwa dini yake Yahudi. Kama mwafrica akiongea kiarabu sio lazima awe mwarabu sababu ya Uislam wake, sababu ya Qur'an. Kuongea lugha sio reason ya we kuwa myahudi, mwafrica, mzungu au mwarabu.

Afu Qur'an mbona ipo wazi haikuwahi kusema wenye asili ya Jews wote sio Uislam na haikuwahi kusema wenye asili ya kiarabu wote ni Waislam. Wako warabu wengi ni wakristo na wayahudi kama vile wako wayahudi ni Waislam na Wakristo.
 
Nauliza ban Israel wako wapi sheikh tuwape nchi yao
 
Wapo hatukatai nani kasema dini ya Kiyahudi haipo uarabuni, nenda Yemen wako warabu dini yao ni Wayahudi, wako Saud Arabia pia wengine wanajidai waislamu na kutumia majina ya kislam lakini asili zao warabu dini yao ni Yahudi, Morocco, Iran wapo hio ni dini sio asili lakini asili ya dini ya Jews sio Bani Israel wao asili yao ni kutoka kwa Hud ndio mana walitwa Yahudi.

Hio Bani Israel sio dini au Israel sio dini tumia akili ili ufahamu unapo fahamishwa. Israel= Yakobo wala sio nchi na Bani Isreal=Watoto wa Yakobo wako Waislam, Wakristo, Wayahudi

Kule Lebanon mmepokea kichapo na Tela Aviv kunawaka moto, niliwambia huyu Saif Din ni balaa hana huruma Israel watamkumbuka Nasurlah nyie tulieni tu.
Nauliza ban Israel wako wapi mkuu mbona unaandika sana jibu swali rahc tufunge mjadala
 
Kimsingi hakuna kama linaloutwa Wapalestina. Natambua kuna watu waliitwa Wafilisti ambao eneo lao ni Gaza. Waisraeli walishindwa kuwaua na kuwamaliza Wafilisti. Na Mungu aliwaambia hao watakuwa mwiba kwao. Ardhi ya Israel ni ya Mungu na Mungu aliamua kwa mapenzi yake yeye mwenyewe kumpatia Israel. Alimchagua Ibrahimu Isaka na hatimaye Yakobo ambaye alimbadili jina kuwa Israeli. Israel akazaa vijana 12 waliokuja kuwa Makabila 12 ya Israel. Mungu aliwaahidi ardhi yote ambayo kwasasa kuna nchi kama Jordan, Lebanon, Syria na mpaka ulikuwa ni mto Frati ambao upo Iran na Iraq. Israel ilishindwa kutii sheria na maagizo ya Mungu. Na Mungu akawaambia wazi atawatawanya. Ilikuja kutokea na walitawanywa kwa awamu 3. Lakini Mungu akaahidi kuwa atawarejesha siku za mwisho na wakisharejea hakuna mtu ataweza kuwaondoa. Biblia pia inaeleza kuwa siku za mwisho macho na masikio ya dunia yote itakuwa mashariki ya kati. Na itafika mahali dunia yote itataka kuangamiza waisraeli lakini Yesu Kristo (Masihi) atarejea na kuangamiza mataifa hayo na Yesu atatawala dunia yote akitokea mji wake Yerusalem.
 
Hakuna sehemu Qur'an inaongelea taifa linaitwa Israel wacha uwongo, Qur'an inaongelea Bani Israel watoto wa Israel kwa hio mtu akisema watoto wa flani ndio nchi 😄 Kondoo mlio potea noma sana ardhi mlio ahadiwa ni wapi kama sio Saud Arabia. Mussa alienda wapi si alipita Red Sea kuna Red Sea kati ya Israel na Egypt 😄
Ukitoka Egypt ukavuka Red Sea unaweza ingia Israel kwa kupitia Sinai peninsula.
Vita mbili za Israel na Egypt zimehusisha kuvuka Red Sea kwa infantry na hakuna nchi katikati hapo ilivukwa. Soma hata ramani
 
Bwana Mkubwa aliwatimua kipindi kile akafunga na Ubalozi
......Ili tu aweze kupata mafuta kwa maana bila ya hivyo angeendeshaje nchi bila mafuta na kipindi hicho kulikuwa na Oil Crisis ya mwaka 1973.
 
Ukitoka Egypt ukavuka Red Sea unaweza ingia Israel kwa kupitia Sinai peninsula.
Vita mbili za Israel na Egypt zimehusisha kuvuka Red Sea kwa infantry na hakuna nchi katikati hapo ilivukwa. Soma hata ramani
Sa we akili zako wawache kupitia sehemu kavu kubwa waende kwenye kuzunguka Sinai peninsula hivi Nabii Musa unadhani alikuwa ana akili ndogo kama zako au Firauni, basi Firaun na jeshi lake wangetumia njia kavu kuwazunguka wasifike kule 😄 Haya wacha hayo tuonyesheni wapi mlima Mount Sinai upo huko Israel au bado mnachimba ardhi ku utafuta? wapi alienda sehemu hizo upo kama sio Saud Arabia upo wapi. Ukiniambia Egypt basi utakuwa kwanza unamrudisha alipo ondoka na hapo Egypt hakuna milima kabisa kule Sinai au South acheni kudanganya watu.

We tuonyeshe upo wapi mlima Sinai? Kwa dalili. Mtatuambia Sinai kuna watu wanafanya ibada sina Waislam au Wayahudi au Wakristo hapo.
 
Hakuna linaloshindikana mbele ya Allah, haijalishi una udogo kiasi gani kukiwa na mkono wa Allah utawashinda wakubwa wanaoungana kukuchangia, Israel ni ka nchi kadogo lakini imeweza kuushangaza ulimwengu mara kadhaa ikiwemo kuzitandika nchi tano kubwa za kiarabu ndani ya siku sita tu, kinachoendelea kwa sasa Israel imewamaliza Rais wa Ira, Kiongozi wa Hamas, Kiongozi wa Hezbollah, Kulipua maadui kwa pager, n.k.

Bani Israel (Makabila 12 yaliyoishi ardhi ya Israel) imetajwa mara nyingi sana kwenye Quran, zaidi ya Mara 40, hakuna sehemu yoyote imetaja Palestina.

Allah anakiri kuitambua ardhi waliyoishi Bani Israel na kuwapa baraka zake, hakuna ardhi waliyoiba ama kukaa kimabavu, Hakuna sehemu yoyote imetaja Palestina ama makoloni yaliyowahi kuikalia ardhi hio kama Ottoman, British Mandate, n.k.

Waisrael walifurushwa kwenda utumwani ulaya na hapo badae wakaanza kurudi kwao kama ilivyokuwa baada ya kutumikishwa muda mrefu Misri, Quran inawaita wayahidi Bani Israel ikiwaambua ni muunganiko wa makabila 12 ya Israel, haijaishia hapo Quran inatambua kwamba Allah aliwapa wayahudi hati ya ardhi ya kuishi.

Wanavyorudi waliikuta ardhi ni koloni la Uingereza linaloitwa Palestine, Kulikuwa na wayahudi wachache waliobaki, wengi walikuwa waarabu waliohamia vipindi ambavyo ardhi ilikuwa chini ya himaya nyingi za kiarabu.

Wayahudi walikubaliana na hio hali kukuta wageni kwenye ardhi yao lakini waarabu walikuwa wanapinga wayahudi kurudi kwenye ardhi yao iliyotambulika na Allah, kulikuwa na mvutano sana + wayahudi kushambuliwa ikafikia kipindi umoja wa Mataifa ukaleta muswada wa kuunda mataifa mawili ya Palestina kwajili ya waarabu na Israel kwajili ya wayahudi.

Waarabu wa Palestina waliukataa huo muswada, walitaka ardhi yote iwe yao, Ndipo vita ya Israel na Palestina ilipoanzia lakini kwa baraka za Allah, Israel imekuwa ikipokea baraka za ushindi kadri muda unavyozidi kwenda.
Hadithi unayorejelea inazungumzia hali ya Waislamu kufuata nyayo za Mayahudi na Wakristo mpaka katika mambo madogo, na inatolewa kama tahadhari dhidi ya kuiga mila na desturi za watu wa dini nyingine zisizokuwa za Kiislamu. Hadithi hii imepokelewa kutoka kwa Mtume Muhammad (S.A.W.) na imeelezwa katika vitabu vya hadithi kama vile Sahih Bukhari na Sahih Muslim.

Mtume Muhammad (S.A.W.) alisema:"Hakika mtawafuata walio kabla yenu (Mayahudi na Wakristo) hatua kwa hatua, kiasi kwamba hata kama wangeingia katika shimo la kenge, mngewaingia."
 
Nauliza ban Israel wako wapi sheikh tuwape nchi yao
Bani Israel nimeku fahamisha wako 12 watafutie basi nchi 12 kama unaweza 😄 mkiambiwa nyie ni makondoo mnabisha. Hio Israel mnayo ita ni taifa teule haina hata history kwenye vitabu vya dini ni Jerusalem ndio ipo tena inaitwa Al Quds. Sababu Israel ni jina la mtu sio nchi.

Nchi ni UK ndio kaitengeneza afu bibilia zenu zikanza kuita taifa teule tena hizo fake edition bibilia ni kama Music kuna new edition sijui hata hizo ni edition hahahaha
 
Kimsingi hakuna kama linaloutwa Wapalestina. Natambua kuna watu waliitwa Wafilisti ambao eneo lao ni Gaza. Waisraeli walishindwa kuwaua na kuwamaliza Wafilisti. Na Mungu aliwaambia hao watakuwa mwiba kwao. Ardhi ya Israel ni ya Mungu na Mungu aliamua kwa mapenzi yake yeye mwenyewe kumpatia Israel. Alimchagua Ibrahimu Isaka na hatimaye Yakobo ambaye alimbadili jina kuwa Israeli. Israel akazaa vijana 12 waliokuja kuwa Makabila 12 ya Israel. Mungu aliwaahidi ardhi yote ambayo kwasasa kuna nchi kama Jordan, Lebanon, Syria na mpaka ulikuwa ni mto Frati ambao upo Iran na Iraq. Israel ilishindwa kutii sheria na maagizo ya Mungu. Na Mungu akawaambia wazi atawatawanya. Ilikuja kutokea na walitawanywa kwa awamu 3. Lakini Mungu akaahidi kuwa atawarejesha siku za mwisho na wakisharejea hakuna mtu ataweza kuwaondoa. Biblia pia inaeleza kuwa siku za mwisho macho na masikio ya dunia yote itakuwa mashariki ya kati. Na itafika mahali dunia yote itataka kuangamiza waisraeli lakini Yesu Kristo (Masihi) atarejea na kuangamiza mataifa hayo na Yesu atatawala dunia yote akitokea mji wake Yerusalem.
Emechanganya ukweli na uongo.Yesu haji kumpigania mtu.Anakuna kuwachukua wateule wake(YOHANA 14:2).

Halafu Yesu Hana haja na Yerusalemu hiyo ya uyahufi.Yerusalemu mpya utashuka kutoka mbinguni na watakatifu wake aliowakomboa.

Watakatifu wataishi ktk mji huo mile zote.Vilio havitasikika,maombolezo yatakoma,Watu watamwona MUNGU ana Kwa ana(UFUNUO 21:1-5).

Ukiongea mambo yanayohusu MUNGU basi ni vema kutoa na rejea ya maandiko.Kwamba dunia nzima iangalie mashariki ya kati!Wayahudi wanalindwa na MUNGU ni Kwa sababu ya agano alilofanya MUNGU na Ibrahimu tu,na si vinginevyo.Sasa hivi Israel sio taifa teule tena.

Uteule walinyang'anywa wakapewa wengine wenye kumkubali MUNGU Kwa njia ya KRISTO YESU(WAKRISTO WA KWELI WENYE KUTII AMRI ZOTE KUMI ZA MUNGU IKIWEPO NA YA UTUNZAJI WA SABATO"UFUNUO 14:12",Isaya 8:20).Hao ndiwo waisrael wa kiroho(wateule) Kwa Sasa(WAGALATIA 3:26-29).BARIKIWA.
 
Na alifaidika nini watu wanaendelea na mambo yao tunaishia kwenda kuomba kujifunza kilimo cha kumwagilia
Bwana Mkubwa alivurugwa akafunga Ubalozi wa Israel akafungua Ubalozi wa Palestina rasmi ambao mwanzo haukuwepo sio mchezo
 
Back
Top Bottom