Kila la heri kwakeWakuu,
IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.
Yasser Arafat hayupo tena, Both Waarabu na Israel watamkumbuka sana.Aliyewashauri hawa jamaa wafanye lile shambulio la October 7 aliwaingiza chaka asee.
Mimi bado naamini kuna njia za amani za kumaliza huu mgogoro baina ya haya mataifa.
Ah nasikia jamaa alikua mpenda amani sana. Ngoja nikamsome zaidi.Yasser Arafat hayupo tena, Both Waarabu na Israel watamkumbuka sana.
uzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia snWakuu,
IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.
Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni anaonekana akiinua fimbo na kutaka kupiga hiyo drone.
Kiukweli inatia huruma. Ukiwaza huyu ndio alikuwa Mastermind wa shambulio la Oktoba 7 mwaka jana, unapata mawazo mengi sana.
Na hapa inaonesha mabodyguard wake walikuwa wamemkimbia au wameshafariki.
Filamu zinakudanganya sana kiongozi.uzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn
... kama wewe mwana wa Mungu kweli, mbona hujiokoi mwenyewe?Hahaha kwanini MAJINI hayasaidii viumbe wa Allah wanapopigwa hadi kuuwawa? Niliwahi siki huyu jamaa alikuwa analindwa na majini asiuwawe, yalienda likizo?
Kwa hiyo walijua alipoWakuu,
IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.
Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni anaonekana akiinua fimbo na kutaka kupiga hiyo drone.
Kiukweli inatia huruma. Ukiwaza huyu ndio alikuwa Mastermind wa shambulio la Oktoba 7 mwaka jana, unapata mawazo mengi sana.
Na hapa inaonesha mabodyguard wake walikuwa wamemkimbia au wameshafariki.
🤣🤣.ISLAM NDO DINI SAHIHI amka
Acha usenge, heshimu imani za watu.
Walichokifanya october 7 inasikitisha sana,walichinja watu na kuwachoma kama mishikaki , wanastahili kipigo haswa kwa walichofanya.Aliyewashauri hawa jamaa wafanye lile shambulio la October 7 aliwaingiza chaka asee.
Mimi bado naamini kuna njia za amani za kumaliza huu mgogoro baina ya haya mataifa.
Unaona kabisa nyumba ishabomoka hiyo we unadhani walinzi watasubiri kifusi iwaangukie au wanaona wanazidiwa na makombora halafu wakae tu,inawezekana wamekimbiauzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn