Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Anatia huruma sana.
Imetosha sasa. Nadhani kama ni somo watakuwa washalipata.
Wao [Hamas] ni non-state actors. Ni wanamgambo tu. Hawana tofauti na sungusungu.
Hawawezi kupambana na jeshi la Israel linalobebwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, na nchi zingine za magharibi.
Waislamu wenzao wa Misri, Saudia, na kwingineko, hawawaungi mkono vile ambavyo Israel inaungwa mkono na nchi za magharibi.
Taswira za vitoto vidogo vilivyolipuliwa na mabomu huko Gaza zinasononesha sana.
Mji wa Gaza umebaki kuwa magofu tu.
Waisraeli takribani 1,300 na ushee waliuliwa hiyo Oktoba 7, 2023.
Mpaka kufikia sasa, zaidi ya Wapalestina 40,000 wamekufa toka hii vita ianze.
Ni mpaka Wapalestina wangapi wafe ili Isael iridhike?
Wengi wa hao marehemu, si ajabu hata hawana uhusiano wowote ule na Hamas.
Enough is enough. This carnage has to end immediately.
uzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia zi
Wewe limepigwa mwana ukome huyo mlinzi yeye kidari chake.......sijui pumbu na vifirigisi vyote chali.........ndio uje netanyahu hataki urafiki na gaidiuzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn
Si lazima kuamini.Wewe endelea na mambo mengine tu.Hiyo video tutaaminije sa ndo jamaa kweli?
😂🤣😂🤣😂Shura ya maimamu walinazi wa JF wanaendelea na kikao watatota tamko kuhusu hii video
Wewe unaamini sio...Wana diplomasia mashuhuri wameshindwa ww wa Buza unasema unaamini.Aliyewashauri hawa jamaa wafanye lile shambulio la October 7 aliwaingiza chaka asee.
Mimi bado naamini kuna njia za amani za kumaliza huu mgogoro baina ya haya mataifa.
yaani mpigania uhuru asiye na nchi amekuwa mwiba kwa Taifa teule la Marekani??Nafurahi jinsi ubongo wake unavyofumuliwa huyo shetani na damu zinaruka hadi kwa camera
Israel mnayoiita taifa teule Mungu wao alikuwa wapi kuwaokoa watu waliotekwa na kuuawa kizembe vile?Hahaha kwanini MAJINI hayasaidii viumbe wa Allah wanapopigwa hadi kuuwawa? Niliwahi siki huyu jamaa alikuwa analindwa na majini asiuwawe, yalienda likizo?
Unajia hata wewe hapo unaweza ukadhani ni wewe kumbe bado umelala, yanayoendelea yote ni AI ila wewe unafikiri kuwa ni wewe unayafanya.Sio mambo ya AI hayo?
Mateka wamshaokolewa? Au ndiyo anapiga tu majengo ya raia kuua watoto na wanawake?Hakika mm nimeshuhudia macho macho uyu ndio Israel mtoa roho w kweli kabisa. Anapeleka moto mpk waishe.
All the best
Toka kipindi cha Yasser Arafat mwarabu amepuuzwa alipotaka suluhu ya amani.Aliyewashauri hawa jamaa wafanye lile shambulio la October 7 aliwaingiza chaka asee.
Mimi bado naamini kuna njia za amani za kumaliza huu mgogoro baina ya haya mataifa.
Usisahau alianza Israel Agosti 23 kukanyaga wabedui Khani Younis.Walichokifanya october 7 inasikitisha sana,walichinja watu na kuwachoma kama mishikaki , wanastahili kipigo haswa kwa walichofanya.
Ndio US walimtrackKwa hiyo walijua alipo
Mtu anapambani ardhi yao , kuna wapalestina 11,000 wameshikiliwa kama mateka miaka na miaka ila huni hilo ...Hao jamaa angalia ramani kweny kombati zao wanataka kutawala kote mpaka syria .Nafurahi jinsi ubongo wake unavyofumuliwa huyo shetani na damu zinaruka hadi kwa camera
Wapalestina wanashikiliwa miaka na miaka huko gerezani acha ushabiki , kulipua hospital , sehemu za wakimbizi sio sahihi hakuna vita ya hivyo ...Walichokifanya october 7 inasikitisha sana,walichinja watu na kuwachoma kama mishikaki , wanastahili kipigo haswa kwa walichofanya.
Hizi fikra zako za uongo unazitoaga wapi!?Kuna wapalestina wengi ambao ni waisraeli tena wengine ni wanajeshi. Shida ya hawa watu ni kauli mbiu yao kutaka kuangamizwa taifa la Israel. Hebu fikiria hamas leo wakiweka silaha chin kutakuwa na aman je jews wakiweka silaha chin si wamekwisha?
Halafu wanaabudu kwenye msikiti hiyohiyo , wangesaidiana ingependezaHahaha kwanini MAJINI hayasaidii viumbe wa Allah wanapopigwa hadi kuuwawa? Niliwahi siki huyu jamaa alikuwa analindwa na majini asiuwawe, yalienda likizo?