Israel yaanza kuagiza mirungi/miraa kutoka Kenya

Israel yaanza kuagiza mirungi/miraa kutoka Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wakulima wa mirungi, Kenya wana kila sababu za kutabasamu baada ya Israel kuanza kuagiza na kupokea hilo zao.
------------------
Local miraa farmers have received a major shot in the arm with the start of exports of the produce to Israel, helping to cushion against loss of key European markets three years ago.
Miraa traders have started exporting the produce to Tel Aviv, opening up a new market for Kenyan farmers after the stimulant was banned in other markets like Britain and the Netherlands.
The exports to Israel come after a year-long stalemate that saw Kenyan-grown khat seized and destroyed at the country’s airport for failing to meet set requirements.
, a year after they received the approval to export the crop to Israel.
Kenya currently exports khat to Puntland in Somalia, Somaliland, Mozambique and Angola.

Hizi ni habari njema kwa wenyeji na wakulima wa gatuzi za Meru, Embu na Laikipia. Alafu eti wao wanatumia sharubati ya mirungi kupata handas yao pendwa. Hapo kuna fursa ya ziada, baadaye inafaa wakulima wa Kenya waanze kufanya export ya Mirungi Juice, Made in Kenya. [emoji1]
 
What is "kuwagiza"? will it start being dark...mirungi toka Kenya?
 
Hizi ni habari njema kwa wenyeji na wakulima wa gatuzi za Meru, Embu na Laikipia. Alafu eti wao wanatumia sharubati ya mirungi kupata handas yao pendwa. Hapo kuna fursa ya ziada, baadaye inafaa wakulima wa Kenya waanze kufanya export ya Mirungi Juice, Made in Kenya. [emoji1]

Wapenzi wa huo mumea hawatatumia sharubai/juisi, wao huamini sana kwenye kuchana...ndio handas yenyewe...
 
Wapenzi wa huo mumea hawatatumia sharubai/juisi, wao huamini sana kwenye kuchana...ndio handas yenyewe...
Nimesoma hiyo taarifa hapo kwenye link wanasema huko kwa wayahudi huwa wanaingia kwenye party na juisi ya mirungi. [emoji1] Hatari sana. Wakulima wa Kenya watafaidi zaidi wakifanya export ya sharubati ya mirungi badala ya mirungi yenyewe.
 
Nakumbuka kuna ule wakati ndege ya mizigo iliokua inasafirisha miraa Somalia ilianguka... Huu mti lazima tuufikishe bara zote duniani, hadi kule Russia wandoe kabaridi

dnplane0911i.jpg

Embakasi+crash+miraa.jpg
 
Sisi Tanzania mirungi ni haramu lakini kumbe kwa nchi 'takatifu' israel ni halali
 
Back
Top Bottom