Israel yaendelea kuishambulia Iran. Yataka Vita ianze au iendelee. Yapiga maeneo nyeti ya Kijeshi

Israel yaendelea kuishambulia Iran. Yataka Vita ianze au iendelee. Yapiga maeneo nyeti ya Kijeshi

Iran kapiga makombora mapya alikua akiyajaribu leo kwa mara ya kwanza, so baadhi ni mapya kabisa walisema ardhi ya majaribio ni kwa mazayuni
Makombola ya Iran yote yamepopolewa na mengine kuangukia Jangwani
 
Attachments

  • IMG_20260608_144523_821.jpg
    IMG_20260608_144523_821.jpg
    175.2 KB · Views: 13
  • IMG_20260608_144523_872.jpg
    IMG_20260608_144523_872.jpg
    245.3 KB · Views: 14
  • IMG_20260608_144523_613.jpg
    IMG_20260608_144523_613.jpg
    117.9 KB · Views: 13
  • IMG_20260608_144523_806.jpg
    IMG_20260608_144523_806.jpg
    230 KB · Views: 19
Unajiuliza taifa kama Israel, shughuli za maendeleo na uzalishaji wa chakula anafanya muda gani, yeye kila siku unasikia mara anatwangana na lebanon, mara yemen, mara gaza, mara syria na sasa hivi irani. Kwamba ana nguvu kiasi hiko? Au yeye anapenda sana ugomvi?
 
Israels haijawahi kuchokoza nchi yoyote dunia na k8la aliyeichokoza mara zote wanaangukia Pua.

Hakuna aliyeanzisha vita na Israel alibaki salama!!!!
 
Attachments

  • Screenshot_20240925-112603_X.jpg
    Screenshot_20240925-112603_X.jpg
    259.9 KB · Views: 14
Kitu ambacho kinafanya nitamani hii vita isiishe hadi mwezi wa 9 ni sababu mafuta yasishuke huku malawi yafike 10K tuone UVCCM watasemaje
Hapo unamaanisha waathirika wa bei ya mafuta kupanda ni UVCCM tuu, ila ww hauathiriki kwa lolote?? Duuuuuh ebhana eeeeh
 
Hawa Waisrael wameshindikana... Hawataki kabisa Iran kupoe. Jamaa wanaona kama Iran ni sehemu yao ya kujipimia ubavu.

Hivi ingekuwa ni Taifa kubwa ingelifanyia hivi kweli?

View attachment 3603497
Myahudi bado ana hasira na munkari ni mpaka Mwajemi aombe poo halafu tena hilo liwe ni fundisho kwa wengine wasijaribu kutenda au kumwiga Mwajemi.
 
Unajiuliza taifa kama Israel, shughuli za maendeleo na uzalishaji wa chakula anafanya muda gani, yeye kila siku unasikia mara anatwangana na lebanon, mara yemen, mara gaza, mara syria na sasa hivi irani. Kwamba ana nguvu kiasi hiko? Au yeye anapenda sana ugomvi?

Kwani ujui Israel inaudumiwa na Marekani kama mchepuko wake!!!
 
Dogo hachelewi kulia Lia huyo.
Anapenda uchokozi nguvu hana
 
Back
Top Bottom