Israel yafanya mashambulizi ya anga Gaza

Kwani hao Hamas kama hawana uwezo wa kupambana na Israel kwanini wanawachokoza??
Kwanini wengi wanaowatetea mitandaoni wanapenda kuonewa huruma??
 
Leongo haikuwa kuua MTU
 
Mungu aliwaambia Waisrael waue uzao wote wa Ishmael ( Palestina) hawakusikia,Mungu aliwaonya kuwa hao watakuwa mwiba juu ya maisha yao,walipokuta wanawake wazuri wenye mata**ko makubwa Tamaa ikawaingia,sasa Israel inavuna miiba,hawa watu hadi waishe wote ndo Middle East itatulia, yaani wamelaaniwa hata Mungu hawataki.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Hamas wamerusha Maputo wao wanatumia fighter jet kupambana na warusha Maputo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hamas wanawafanya israel kama midoli vile[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Israel imesema kuwa imegundua kuwa Inaandamwa sana na vyombo vya habari vya Dunia...Kwani Mashambulizi yake huwa ni kutuliza ghasia au na imevitaka viwe vinarusha habari za uchokozi za waarab kwanza so kampeni i hope itaanza kuwakomesha waandishi uchwara wenye nia ya kuichafua Israel kimataifa... yaani Heading za Ajabu tena front page hivi mnataka Israel achokozwe and then atulie tu kimya kama zoba ndio mnafurahia nini?

Naamuru Israel tena awe anapiga haswa kipigo kikali ili muandike vizuri... Yaani Dunia nzima heading ni hii tu. wafia magaidi wana taabu sana
 
Alolaaniwa mpalestina au muisraeli mpinga kristo,muhasisi wa ushoga na undumbangwe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…