Ngoja nimuulize Saddam Hussein huko alipo kuhusu scuds!Patriot yenyewe uharo mtupu
Mlisema haya hata kwa Iran kuwa Israel hawezi igusa Leo ni siku ya pili Israel anapiga iranJuzi wametumbua zote na maoperators wao. Hii imewashtua west inaonekana Urusi akiamua kuwasakafia hakuna mwenye uwezo wa kujilinda akiwemo US
Daaah!🇮🇱 Israel imehamisha mifumo ya Patriot kwenda Ukraine, Balozi wa Israel nchini Ukraine Michael Brodsky amethibitisha.
"Mifumo ya Patriot tuliyowahi kupokea kutoka Marekani sasa iko Ukraine. Hii ni mifumo ya Israel iliyokuwa ikihudumu nchini Israel mwanzoni mwa miaka ya 1990. Tulikubali kuihamishia Ukraine. Kwa bahati mbaya, hili halijajadiliwa sana," Brodsky alisema.
Hata hivyo, hakufafanua ni mifumo mingapi ya Patriot ilitolewa au ni lini hasa uhamisho huo ulifanyika.
▪️Hapo nyuma mnamo Juni 2024, gazeti la Financial Times liliripoti kwamba Marekani, Israel, na Ukrainia zilikuwa kwenye mazungumzo kuhusu uwezekano wa kusambaza hadi mifumo minane ya ulinzi wa anga ya Patriot nchini Kyiv. Wakati huo, mpango huo ulikuwa bado haujakamilika.
Kamwe hawezi fanya hilo kosa. Hao ni wayahudi wenzake.🇮🇱 Israel imehamisha mifumo ya Patriot kwenda Ukraine, Balozi wa Israel nchini Ukraine Michael Brodsky amethibitisha.