Israel yakata usambazaji umeme kwenye maeneo yote ya gaza, lengo kuwalazimisha magaidi wa Hamas kuachia huru mateka 59 inaowashikilia hadi sasa

Tutatumia kila zana tuliyonayo ili kuhakikisha mateka wote wanarudi, na tutahakikisha kwamba Hamas haitakuwepo Gaza ‘siku ya baadae’,” amesema Cohen katika taarifa ya video.

HAYA MANENO YAMENICHEKESHA SANA,WALITUMIA KILA AINA YA SILAHA KUMBE WALISAHAU SILAHA YA KUZIMA UMEME..WAYAHUDI WAPUUZI SANA AISE
 
Ni kweli ni huo umeme ndiyo umewapa jeuri ya kujificha kwenye mahandaki yao. Sasa hivi kimeumana mtetezi wao Kamala Harris hayupo
 
umeme awape Wayaudi ila Silaha mpewe na Iran ili kumpiga anaekupa umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…