Israel yalipua Ghala la Hezbollah Nchini Lebanon- Moto wa milipuko unaendelea kuwaka

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
Your browser is not able to display this video.


Explosions after an Israeli airstrike that reportedly targeted ‘Hezbollah weapons depot’ in Lebanon​

An Israeli strike on Monday evening targeted a Hezbollah arms depot in Lebanon's eastern Bekaa Valley, two security sources told Reuters.

There were no immediate reports of casualties, the sources added Lebanese newspaper Al Mayadeen reported that Israeli fighter jets carried out a strike in the town of Temnine Et Tahta, 70 kilometers (about 44 miles) north of the Israel-Lebanon border. The strike's target was a Hezbollah storage facility, according to security sources.
 
Mkuu kichwa cha habari na habari yenyewe vinatofautiana kama mbingu na aridhi!
 
Mnajifariji na kujiliwaza.


View: https://x.com/megatron_ron/status/1825538524571185596?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Lebanon ilikua nchi nzuri sana kabla ya utawala wa Hezbollah, sasa imekua uwanja wa mapambano
⚡️ ⭕️ Jukwaa la vyombo vya habari la Israeli: Watu waliohamishwa kutoka kaskazini kutokana na shambulio la moto la Hezbollah Waziri Ben Gvir:

Hatuwezi kurudi nyumbani wakati unazunguka-zunguka hapa

Watu waliokimbia makazi yao kutoka kaskazini walimtaja Ben Gvir kuwa gaidi
 
Hauaminiki wewe na vipande vyako vya uzushi.Fabrications!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…