Israel yamuua kamanda wa kikosi cha maroketi wa Hezbollah

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
7,417
Reaction score
9,604
Israel imefanya shambulizi nchini Lebanon lililomuua kamanda wa kikosi cha maroketi wa Hezbollah.

Israel imesema kuanzia sasa haitafanya mashambulizi ya kujilinda tu bali itafanya mashambulizi mengi kwa kuwafuata viongozi na wanachama wa Hezbollah popote pale watakapokua.
 
“Hezbollah is about to feel an increase of Israeli attacks”

Israeli Defense Minister Yoav Gallant says the IDF will "expand the campaign against Hezbollah”

He said Israel is turning “from defense to pursuit” that Hezbollah will be hit in Beirut, Damascus and wherever needed

🇮🇱
 
Kidume katema cheche. Ukisikia amesema eti kuanzia sasa, ujue alishaanza zamani na hapo ni ameweka wazi tu kwa raha zake jinsi anavyowabutua.
 
“Hezbollah is about to feel an increase of Israeli attacks”

Israeli Defense Minister Yoav Gallant says the IDF will "expand the campaign against Hezbollah”

He said Israel is turning “from defense to pursuit” that Hezbollah will be hit in Beirut, Damascus and wherever needed

🇮🇱
NOTE: Magaidi HAMAS wameisababishia Palestina maumivu makali
=//= Hezbollah tayari wanaisababishia Lebanon (Beirut)maumivu
makali
=//= =//= tayari wanaisababishia Syria (Damascus) maumivu
makali
=//= =//= tayari watawasababishia maumivu makali wale wote wanaowahifadhi au wanaowakumbatia. Nadhani hapo IDF aliwalenga Arab countries au
 
Dunia bila uislam ni sehemu salama
 
Dunia bila uislam ni sehemu salama
Kuna ka-ukweli fulani lakini ukija kwa hawa wavaa kobazi; Mhhhh kuna shida.
Tunaishi na Waislam huku mikoani Tz (ukiondoa Z'bar) bila shida na tunakuwa pamoja katika shida na raha. Leo 31/03/2024 ni pasaka na tunaserebuka na mapilao yetu bila shida na wao wanaendelea na mfungo mtukufu. Lakini hatuendi kula mbele yao na wao hawaji kututazama wakati tukila. Kinachofanyika ni heshima ya kuwatunzia ile share yao na tutawapelekea jioni wakishafuturu. Kwani shida iko wapi???
 
Back
Top Bottom