Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Ni kichapo kila mahaliYahudiii weee kumbe bado unatembeza bakora Gaza? Sasa hawa wanaopiga ukabazini Tehran ni kina naniii
Gaza wapo kwenye tanuru la MotoHuyu jamaa anachapa huku na huku; mbele na nyuma? Nikajua ya Gaza yamesahaulika kumbe kazi inapigwa as nothing has happened! Noma Sana.
Na ndicho wanachopitia sasa hivi Israel maana mji wa Tel Aviv umekuwa magofu kama Gaza.Gaza wapo kwenye tanuru la Moto
Kwa ivo kinachofanywa na Israel huko Gaza ni sawa?Na nchicho wanachopitia sasa hivi Israel maana mji wa Tel Aviv umekuwa magofu kama Gaza.
Labda ujizime tu data ndiyo utaona ya Gaza pekee😆.
Hii mada umeielewa au umekuja na mihemko yako ya kidini? Wengine hatupo huko.Mnashangilia Waislamu wanauliwa huko gaza, alafu mnalialia mkipigwa mshindo kanisani huko Syria,ukifanya ubaya unalipwa ubaya tu.
Israel is actually overrated in the aerial wars, naval wars and infantry wars strategies, intelligences, technologies, techniques, tactics and abilities by infidels.Huyu jamaa anachapa huku na huku; mbele na nyuma? Nikajua ya Gaza yamesahaulika kumbe kazi inapigwa as nothing has happened! Noma Sana.
Israel ipi imekua magofu we kobazNa ndicho wanachopitia sasa hivi Israel maana mji wa Tel Aviv umekuwa magofu kama Gaza.
Labda ujizime tu data ndiyo utaona ya Gaza pekee😆.