Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
HahahaUna haraka ya wapi??? 🤔 🤔 🤔
😅😅Itakua bajeti ya Mwigulu imemchanganyaUna haraka ya wapi??? 🤔 🤔 🤔
Yani taarifa haieleweki kabisa. 😊😊😅😅Itakua bajeti ya Mwigulu imemchanganya
Atulie atupe habari kamili
Hii ni ishara kuwa kuna mamluki ya Israel ndani ya IranTwo explosions have hit areas close to Iran's underground Fordo nuclear facility, the IRGC-affiliated Fars News confirmed. By Iran International
Everywhere in the middle east there is a lot of them. All Arabic country they are plenty JewsHii ni ishara kuwa kuna mamluki ya Israel ndani ya Iran
Israel inajua kuliko wewe, ndiyo maana imeigeuza Iran shamba la bibi, inajivunia viongozi na mifumo ya Iran itakavyoHicho cha Fordow Israel ataishia kupiga majengo ya juu, lakini vyombo vyenyewe vya kuenrich uranium viko chini sana mile nyingi underground hata Bunker buster hazichimbui
Unakula mchicha pale nyumban kwenu ila hapa unazungumza kama msaidizi wa KhomeneiHicho cha Fordow Israel ataishia kupiga majengo ya juu, lakini vyombo vyenyewe vya kuenrich uranium viko chini sana mile nyingi underground hata Bunker buster hazichimbui
Daaah wabongo banaaa kama umejenga wewe vileeeHicho cha Fordow Israel ataishia kupiga majengo ya juu, lakini vyombo vyenyewe vya kuenrich uranium viko chini sana mile nyingi underground hata Bunker buster hazichimbui
Kitafikiwa taratibu,Hicho cha Fordow Israel ataishia kupiga majengo ya juu, lakini vyombo vyenyewe vya kuenrich uranium viko chini sana mile nyingi underground hata Bunker buster hazichimbui
Loh! Hizo radioactive emissions zitakazotoka hapo kuna usalama kweli? Iran amechagua kuiharibu nchi yao wenyewe! Wategemee mapooza ya kutosha in the near future!Wadau hamjamboni . nyote
Milipuko miwili imetokea karibu na kituo cha nyuklia cha chini ya ardhi cha Fordo nchini Iran, shirika la habari la Fars linalohusiana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limethibitisha.
Two explosions hit areas near Iran's Fordo nuclear site - IRGC outlet
Two explosions have hit areas close to Iran's underground Fordo nuclear facility, the IRGC-affiliated Fars News confirmed. By Iran International
Leo asubuhi Iran imetumia drones zaidi ya 200 wakijaribu kulipa kisasi ndiyo maana jioni hii Israel nao wamelipua kiwanda cha kutengeneza drones ( UAVs) pamoja na centrifuges zingine za nuclear....Israel inajua kuliko wewe, ndiyo maana imeigeuza Iran shamba la bibi, inajivunia viongozi na mifumo ya Iran itakavyo
Death to America, death to Israel na kuchoma mavitambaa mabarabarani eti ndio ubabe! Wababe wanawacheki tu; pumbafu!Kitendo cha mosad kutengeneza kiwanda cha ndege vita bila iran kujua ni dhahiri iran ni dhaifu sana
Ila wanajua kupiga mkwara buana😀😀