Una uwezo mdogo sana wa kufikiriLeo asubuhi Iran imetumia drones zaidi ya 200 wakijaribu kulipa kisasi ndiyo maana jioni hii Israel nao wamelipua kiwanda cha kutengeneza drones ( UAVs) pamoja na centrifuges zingine za nuclear....
Kipigo cha safari hii hakuna kupoa tena ni kupiga Tu silaha zote za iran
Vita ni mbinuHii ni ishara kuwa kuna mamluki ya Israel ndani ya Iran
Kuna moja ameapishwa leo kasema anafungulia milango ya kuzimu😁Death to America, death to Israel na kuchoma mavitambaa mabarabarani eti ndio ubabe! Wababe wanawacheki tu; pumbafu!
Ila Israel wapo mbele ya muda saana. Wanawaza miaka 1000 mbeleKitendo cha mosad kutengeneza kiwanda cha ndege vita bila iran kujua ni dhahiri iran ni dhaifu sana
Ila wanajua kupiga mkwara buana😀😀
Unatumia kiswahili cha wapi Mkuu maana hii ni kama post ya pili unaandika Kushambukia instead of Kushambulia.. So hata ungekuwa mtangazaji wa Mpira ungekuwa uasema Fei toto anashambukia... ?Wadau hamjamboni . nyote
Milipuko miwili imetokea karibu na kituo cha nyuklia cha chini ya ardhi cha Fordo nchini Iran, shirika la habari la Fars linalohusiana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limethibitisha.
Two explosions hit areas near Iran's Fordo nuclear site - IRGC outlet
Two explosions have hit areas close to Iran's underground Fordo nuclear facility, the IRGC-affiliated Fars News confirmed. By Iran International
Leo hutalala mana taifa teule lenu limechakazwa vibaya sana wakiruhusu kuonyesha picture utashangaa damaged ilio sababishwa na Missiles za Iran.Usikute Adiosamigo ndie Mkuu wa Jeshi la Iran r.i.p
Matusi na kula ubwabwaSwali tu ndugu zangu, hivi kobazi waliwahi kushinda nini?
Kumbe sio wewe na hujafa duh i thought Allah alikutake, kama hujamjua Kristo thanks God.Leo hutalala mana taifa teule lenu limechakazwa vibaya sana wakiruhusu kuonyesha picture utashangaa damaged ilio sababishwa na Missiles za Iran.
Pole sana Iran ni Baba lao pale Middle eastKumbe sio wewe na hujafa duh i thought Allah alikutake, kama hujamjua Kristo thanks God.
Taifa Teule la Allah.. ila ukikosa Msiba kule Teheran nitakuona na wewe umekuwa kama Hezbollah unasepa kimya kimya
Vipi Ayatollah kamala au kawaishwa maana nasikia nyumba yake imegongwaPole sana Iran ni Baba lao pale Middle east
We endelea kujipoza na maumivu najua unateseka sana ulizowea kulala kwenye vibaraza pale Tela Aviv sa vimevunjwa vyote.Vipi Ayatollah kamala au kawaishwa maana nasikia nyumba yake imegongwa
Hufananii kuwa mkorofi hivo ujue!