Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Israel imetekeleza mashambulizi makubwa ya anga kusini mwa Lebanon, ikibainisha kuwa ndege zake za kivita zimepiga zaidi ya roketi 100 za Hezbollah na maeneo mengine ya "kigaidi," ikiwa ni pamoja na ghala la silaha.
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limesema vizindua hivyo vilikuwa tayari kufyatuliwa dhidi ya Israel. Haijajulikana mara moja kama kuna wahanga wowote.
Shirika la Habari la Taifa la Lebanon limesema Israel imefanya angalau mashambulizi 52 kusini mwa nchi hiyo Alhamisi jioni.
Wakati huo huo, Hezbollah imesema pia imefanya mashambulizi kwenye maeneo ya kijeshi kaskazini mwa Israel.
Mashambulizi hayo ya anga ya Israel, ambayo yalidumu kwa zaidi ya saa mbili, yalikuwa miongoni mwa mashambulizi makali zaidi kutokea hivi karibuni.
=================================
Israel has carried out extensive air strikes on southern Lebanon, saying its warplanes have hit more than 100 Hezbollah rocket launchers and other "terrorist sites" including a weapons storage facility.
The Israel Defense Forces (IDF) said the launchers were ready to be fired against Israel. It was not immediately clear if there were any casualties.
Lebanon's state-run National News Agency said Israel carried out at least 52 strikes in the south of the country on Thursday evening. Hezbollah, meanwhile, said it had also launched strikes on military sites in northern Israel.
The Israeli air strikes, which lasted more than two hours, were some of the most intense of the recent conflict.
On Friday morning, Israel lifted orders restricting movement that it had issued on Thursday for communities in the Golan Heights and parts of northern Israel, its military confirmed.
The IDF added it would be carrying out "activities in the training areas" of northern Israel over the weekend and that "gunshots and explosions" might be heard in nearby settlements.
Source: BBC News