Israel yasikitishwa na muendesha mashtaka wa ICC

Israel yasikitishwa na muendesha mashtaka wa ICC

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
Waziri Mkuu Bibi, katika kauli thabiti na pasipokupepesa macho ametoka hadharani kulaani kile alichokiita makosa makubwa ya Muendesha Mashtaka wa ICC.

Netanyahu anasema Israel itajilinda na Israel hii ya leo si ile ya enzi za Manazi wa Ujerumani.

My take: Je, Muendesha Mashtaka wa ICC amechoka kula ugali?
 
Unaacha kumtangazia fatwa Putin anayeua ovyo Ukraine unatangaza arrest warrant ya masihi wa taifa la Mungu linalopigania ku-survive! Akili matope?
 
Israeli waendelee na mission yao kumalizana na Hamas huko Rafah. Masuala ya ICC yatakuja baadae baada ya kujihakikishia usalama wake 🤔
 
Unaacha kumtangazia fatwa Putin anayeua ovyo Ukraine unatangaza arrest warrant ya masihi wa taifa la Mungu linalopigania ku-survive! Akili matope?
Taifa la Mungu linapigania ku-survive? huyo atakuwa Mungu wa Gubiro.
 
Unaacha kumtangazia fatwa Putin anayeua ovyo Ukraine unatangaza arrest warrant ya masihi wa taifa la Mungu linalopigania ku-survive! Akili matope?
Mungu yupi unayemzungumzia hapa? yule waliyemkataa na kumuua?
 
Back
Top Bottom