#COVID19 Israel yatangaza kisa cha kwanza cha 'flurona'

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mwanamke mjamzito nchini Israel ambaye hakupata chanjo ya corona amegundulika kuwa na mchanganyo wa mafua(flu) na corona ambayo yanaitwa 'Flurona'

Mchanganyo wa magonjwa hayo umetajwa kuwa hatari zaidi kwa kuwa maradhi yote yana athari katika mfumo wa upumuaji

Mkuu wa Kitengo cha Matibabu kwa wanawake Prof. Arnon Vizhnister kwa sasa wanakutana na wanawake wengi wajawazito wenye dalili za mafua
 
Nimecheka Sana Tena amepatikana mwingine aliyechanyikana na Mafua😀😀😀😀
 
Haya mambo ukiwa unaona yanavyotangazwa kwenye vyombo vya habari alafu iwekwe na picha ya flurona yenyewe unachanganyikiwa.
 
Wanatutilia kelele tu mbwa hawa,hata ije COLONEL
Sichanji ng'o!
 
Kila kukicha majina mapya,tumechoka sasa
 
Na ugonjwa wa mafua ya ndege umetamalaki huko Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…