#COVID19 Israel yatangaza kisa cha kwanza cha 'flurona'

#COVID19 Israel yatangaza kisa cha kwanza cha 'flurona'

Kingine hiki hapa kutoka France ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿ‘‡

Screenshot_20220104-140603.png
 
Mwanamke mjamzito nchini Israel ambaye hakupata chanjo ya corona amegundulika kuwa na mchanganyo wa mafua(flu) na corona ambayo yanaitwa 'Flurona'

Mchanganyo wa magonjwa hayo umetajwa kuwa hatari zaidi kwa kuwa maradhi yote yana athari katika mfumo wa upumuaji

Mkuu wa Kitengo cha Matibabu kwa wanawake Prof. Arnon Vizhnister kwa sasa wanakutana na wanawake wengi wajawazito wenye dalili za mafua
Waache Uzushi,
MBONA HATA HUKU BONGO TUNA ISHI NAYO...!
IMG-20220104-WA0042.jpg
 
Back
Top Bottom