Israel yaufyata mkia

Israel yaufyata mkia

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Rais Isaac Herzog wa Israel amedai kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna azma ya kuingia vitani na Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika upande wa kaskazini, siku chache baada ya viongozi wa Marekani kuwatahadharisha watawala wa Israel kuhusu ugumu na hatari ya kuendesha vita viwili kwa wakati mmoja; upande wa kusini na Harakati ya Hamas ya Palestina na upande wa kaskazini na harakati yenye nguvu kubwa ya kijeshi, Hizbullah.

Herzog alisema hayo jana katika kikao na waandishi wa habari akiwa pamoja na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron na kueleza kuwa: Hatutaki makabiliano katika mipaka ya kaskazini, lakini iwapo Hizbullah itatuburuza kwenye vita, Lebanon italipa gharama kubwa.

Kauli ya Herzog imekuja chini ya wiki moja baada ya Rais Joe Biden wa Marekani na washauri wake wakuu kuwaonya viongozi wa utawala ghasibu wa Israel wasijaribu kuingia katika vita na migogoro na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah.

Aidha hivi karibuni, Hizbullah ya Lebanon ilitangaza kuwa imetoa kipigo kikali katika mashambulio iliyofanya dhidi ya ngombe za jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mashamba ya Shabaa ya ardhi ya Lebanon inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Hii ni katika hali ambayo, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limekiri kwamba, askari zaidi ya 300 wa utawala huo wameuawa tangu kuanza kwa vita vya Kimbunga cha al-Aqsa mnamo Oktoba 7.

Operesheni hiyo hadi sasa imepelekea kuangamizwa Wazayuni wasiopungua 1,500 na kujeruhiwa karibu wengine 5,000. Pia, Wazayuni wengine wapatao 200 wamekamatwa mateka na wapigania uhuru wa Palestina.
 
The reality
 
Attachments

  • FB_IMG_1698227217450.jpg
    FB_IMG_1698227217450.jpg
    65.6 KB · Views: 8
Kwa hiyo jihadists mnataka vita wakati nyie hamtaenda huko kupigana, vita vyenu vinaishia kwenye keyboard tu humu hali inayowafanya msipate mabikra 72 wa kwenye nchi ya kusadikika.
 
Kodi zipi wanazotumia zaidi ya Misaa ya Marekani.
Unawaza kanisani tu muda wote! Kaombe na wewe Misaada... Ukiwa mjinga ni mjinga tu... Israel kaomba au Marekani ndio katoa Msaada kisa kikuu ni Ugaidi pakee.. Mgaidi ni adui wa Dunia kasome Koran inasemaje kuhusu Wayahudi na Christians... ni kuchinjwa tu hadi kifo... wapende tu siku yako wakija utawajua nini maana ya Gaidi...
 
Rais Isaac Herzog wa Israel amedai kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna azma ya kuingia vitani na Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika upande wa kaskazini, siku chache baada ya viongozi wa Marekani kuwatahadharisha watawala wa Israel kuhusu ugumu na hatari ya kuendesha vita viwili kwa wakati mmoja; upande wa kusini na Harakati ya Hamas ya Palestina na upande wa kaskazini na harakati yenye nguvu kubwa ya kijeshi, Hizbullah.

Herzog alisema hayo jana katika kikao na waandishi wa habari akiwa pamoja na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron na kueleza kuwa: Hatutaki makabiliano katika mipaka ya kaskazini, lakini iwapo Hizbullah itatuburuza kwenye vita, Lebanon italipa gharama kubwa.

Kauli ya Herzog imekuja chini ya wiki moja baada ya Rais Joe Biden wa Marekani na washauri wake wakuu kuwaonya viongozi wa utawala ghasibu wa Israel wasijaribu kuingia katika vita na migogoro na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah.

Aidha hivi karibuni, Hizbullah ya Lebanon ilitangaza kuwa imetoa kipigo kikali katika mashambulio iliyofanya dhidi ya ngombe za jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mashamba ya Shabaa ya ardhi ya Lebanon inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Hii ni katika hali ambayo, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limekiri kwamba, askari zaidi ya 300 wa utawala huo wameuawa tangu kuanza kwa vita vya Kimbunga cha al-Aqsa mnamo Oktoba 7.

Operesheni hiyo hadi sasa imepelekea kuangamizwa Wazayuni wasiopungua 1,500 na kujeruhiwa karibu wengine 5,000. Pia, Wazayuni wengine wapatao 200 wamekamatwa mateka na wapigania uhuru wa Palestina.
Kaandamane huko Allah sio is no more Akbar yupo chini as always pale kaaba black stone
 
Unawaza kanisani tu muda wote! Kaombe na wewe Misaada... Ukiwa mjinga ni mjinga tu... Israel kaomba au Marekani ndio katoa Msaada kisa kikuu ni Ugaidi pakee.. Mgaidi ni adui wa Dunia kasome Koran inasemaje kuhusu Wayahudi na Christians... ni kuchinjwa tu hadi kifo... wapende tu siku yako wakija utawajua nini maana ya Gaidi...
Hakuna kitu kama hicho mbona hapo iarael 20% ni waislamu na 2% wakristo na hakuna muislamu aliyochinja mtu?
 
Rais Isaac Herzog wa Israel amedai kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna azma ya kuingia vitani na Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika upande wa kaskazini, siku chache baada ya viongozi wa Marekani kuwatahadharisha watawala wa Israel kuhusu ugumu na hatari ya kuendesha vita viwili kwa wakati mmoja; upande wa kusini na Harakati ya Hamas ya Palestina na upande wa kaskazini na harakati yenye nguvu kubwa ya kijeshi, Hizbullah.

Herzog alisema hayo jana katika kikao na waandishi wa habari akiwa pamoja na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron na kueleza kuwa: Hatutaki makabiliano katika mipaka ya kaskazini, lakini iwapo Hizbullah itatuburuza kwenye vita, Lebanon italipa gharama kubwa.

Kauli ya Herzog imekuja chini ya wiki moja baada ya Rais Joe Biden wa Marekani na washauri wake wakuu kuwaonya viongozi wa utawala ghasibu wa Israel wasijaribu kuingia katika vita na migogoro na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah.

Aidha hivi karibuni, Hizbullah ya Lebanon ilitangaza kuwa imetoa kipigo kikali katika mashambulio iliyofanya dhidi ya ngombe za jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mashamba ya Shabaa ya ardhi ya Lebanon inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Hii ni katika hali ambayo, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limekiri kwamba, askari zaidi ya 300 wa utawala huo wameuawa tangu kuanza kwa vita vya Kimbunga cha al-Aqsa mnamo Oktoba 7.

Operesheni hiyo hadi sasa imepelekea kuangamizwa Wazayuni wasiopungua 1,500 na kujeruhiwa karibu wengine 5,000. Pia, Wazayuni wengine wapatao 200 wamekamatwa mateka na wapigania uhuru wa Palestina.
Wanaufiata mkia lakini hakuna ardhi yenu mnayokomboa sasa hapo wajinga nani?
 
Ngoja zamu ya Hamas iishe, then itafata ya Jordan...!

Narudia tena ulichoandika kwa lugha rahisi...! Kwamba

"Kwa sasa hatutaki maneno na Herzibula, ila kama watatulazimisha... Basi JORDAN italipa gharama kubwa...!"

wanachomaanisha ni kwamba wao hawatachagua pa kupiga, wao wataipiga Jordan, ambcho hawatataka tu ni yale maneno ya kusema kwa nini apige Uwanja wa shule, kwa nini apige Ukumbi wa Disco, vinahusiana nini na Herzibulah....!

Hicho ndo hawatataka kusikia.
 
Back
Top Bottom