Israel yawashushia Kitu kizito Houthi wa Yemen

Nimecheka kauli ya Houthi kustushwa na Shambulio la Israel so wanaomba Dunia nzima iwasaidie including Allah hahahahaha sijui hawajawahi pigwa..
Wamekutana na Bwana Pepsi!!
 
Sasa msemaji wa houth kwa mbaali kaanza kulia lia kwamba Yahud wanaua raia tu ,tangu lini Mayahud yakachagua pa kutonesha yale yanakutengua nyonga tu kafie mbele huko
 

Houthi sio magaidi, israel ndio anafanya ugaidi pale gaza,

Unangusha bomu kutoka F16 fighter jet kwenye mkusanyiko wa watu elfu moja, then unajitetea uliwalenga top leader wawili tu wa hamas, siku hii ndio nilichukia israel, na iyo genocide anayoifanya pale gaza dunia haitosahau

UN walitaka kuwapa hawa Zionist ardhi ya Uganda, na wanavyopenda kutanua ardhi, ungekuta washaimega kanda ya ziwa yote, sasa hivi tungekua vitani na mbwa hawa
 
Kwa kiegezo gani unawaita wa Haouthi magaidi?
Siasa za Mashariki ya kati sio sawa na ugomvi wa Kibosho na Machame , punguza mbege ya msesewe.

Wale ni magaii wa kiislamu wanaotimiza hili andiko la kigaidi la kiislamu
9.123. Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu.
 
Hii vita itamtokea Yemen mapuani, kwa muda mrefu Houth wameshambulia Israel lakini baraza la umoja wa mataifa wako kimya, nchi ya Yemen itahariboka hivi hivi.
Si vita hiyo kati ya Israel vs Hamas, na raia wamekubali kuishi na hamas kwenye majumba yao! Si hamas wameshika mateka wa kiyahudi hawataki kuachia? Kwa njia hiyo huwezi tatua mgogoro kwa kulaani upande mmoja, Israel anajibu mashambulizi ya October 17, na Israel alishangundua unafiki wa waarabu hasa wenye misimamo mikali ya dini, lengo lao ni kuifuta Israel na kuiangamiza pale middle East. Ilitakiwa kuwaambia Hamas acheni mateka ili vita iishi, akimficha jambazi na wewe unakuwa jambazi
 
Hii si haki, sisi maandiko yanaruhusu Yemen kushambulia, wao waonyeshe wapi maandiko yao yanaruhusu kushambulia au kujibu mashambulizi. Huu ni mfumo Kiristo halafu dunia ipo kimya wakati Yemen inashambuliwa.
Na hayo maandiko yakawalinde dhidi ya mashambulizi. Yawasaidie mpate haki yenu.
Endeleeni kuchokoza.....
 
Na kwasasbabu wanapenda haki walikataa ardhi ya Uganda yenye rutuba nzuri,wakachagua warudi kwao jangwani.
 
Mwanaume anapambana na wanaume, na sio kuuwa innocent people, huo sio uanaume

Gaza n.k mnauwa raia, yemen nayo mmeanza kuuwa raia
 
Inaitwa mwana ukome kucheza na wakubwa.
 
uzuri wanaenda kwa Allah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…