Israel yawataka Raia wa Yemen waondoke maeneo ya bandari za Houthi IDF

Israel yawataka Raia wa Yemen waondoke maeneo ya bandari za Houthi IDF

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,378
Reaction score
13,198
Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) kwa lugha ya Kiarabu, Kanali Avichay Adraee, ametoa onyo kwa raia wa Yemen walioko karibu na bandari za Ras Isa, Hodeidah, na as-Salif kuondoka katika maeneo hayo kuanzia Jumapili jioni hadi taarifa nyingine itakapotolewa.

Adraee alisema:
"Kutokana na utumiaji wa bandari hizi na utawala wa kigaidi wa Wahouthi kwa ajili ya shughuli za kigaidi, tunawahimiza wote walioko katika bandari hizi kuondoka na kukaa mbali kwa usalama wenu hadi taarifa nyingine itakapotolewa."

IDF warns.png
​

=======================

The IDF's Arabic spokesperson, Colonel Avichay Adraee, warned Yemenis in the vicinity of Ras Isa, Hodeidah, and as-Salif ports to evacuate the area on Sunday evening until further notice.

"Due to the terrorist Houthi regime's use of seaports for its terrorist activities, we urge all those present at these ports to evacuate and stay away from them for your own safety until further notice," Adraee warned.
 
Israel inatarajia kuwashambulia Houthi usiku wa leo na huo ndiyo uzuri wa IDF wanakupa taarifa ili kujiandaa ujiandae!!

Israel yatoa onyo la dharura la kuhama kwa wale wote walio katika bandari zinazodhibitiwa na utawala wa Houthi:
Bandari ya Ras Issa
Bandari ya Hudaydah
Bandari ya Salif
Webabu@mdogoye@Adiosamigo@Ritz@adriz “IDF is The most moral army in the world” Matangazo kama haya huwezi kuyaona katika majeshi mengine duniani!!!
Kesho nitawapa taarifa jinsi kipondo hicho kutakavyo kuwa!!!!
 
Attachments

  • IMG_2810.jpeg
    IMG_2810.jpeg
    113.8 KB · Views: 36
  • IMG_2811.jpeg
    IMG_2811.jpeg
    130 KB · Views: 27
Israel has attacked Yemen’s Hodeidah Sunday night after the Israeli military said it warned residents in the areas of three ports under Houthi control to evacuate, according to the Houthi Interior Ministry.
 
Bado najiuliza; hivi ni kweli kwamba Israel anamtegemea USA kwa 💯? USA si ndio kaamua kuachana na hawa wendawazimu, tena wiki hizi 2? Israeli anajipigia anavyotaka, tena anatoa na taarifa kwa lugha yao kabisa na anasema, wapi atapiga, anawaambia hadi na siku ili kama vipi wajiandae vizuri, nauliza; ni kweli kwamba, Israel anamtegemea Marekani ili kupigana? Napata mashaka na hilo kwa kweli. Hawa jamaa wanajiweza, kuendelea kufikiri eti, bila Marekani hawa hamna kitu ni kujidanganya tu. Iran hana hamu nao hawa wana wa Yakobo.
 
YEMEN awajawai niangusha kisasi kipo tn ulimwengu utashangazwa Houthi ni habari kubwa duniani
 
Houthi wameanza kudeal na vita ya Kisaikolojia.

Hakuna binadamu asiyeogopa kifo Tantalila za Jihad sijui Nini huwa ni brainwashing.

Israel inachofanya ni kama kupaka mate iteleze, Kwanza inawafanya wakimbie kimbie waone kifo mbele
Dah!!
 
Mbona wenzako wanatambaa kwa sasa.. wameutaka U gaza wameupata maisha magumu kwa sasa na baadae mjiandae kuwachangia chakula kama Hamas
YEMEN kubwa Sana Israel awezi igeuza Gaza wanamipaka mingi bahari lkn pia Myemen ndio Mwarabu mvumilivu zaid kwenye shida kuliko wote !!!!

ivyo Israel ana cha kuwatisha Wayemen Zaid niyeye Israel kwasasa wanaishi kwa off kuuuu awajui muda gani watachezea kipigo !!!!!

NETANYAHU kawaingiza Waisrael kwenye kichaka cha nungunungu kujitoa awezi !!!!

na kushinda awezi na bado vifo vya IDF vinaendelea wkt pia nchi inapigwa seem muimu zaid za kuichumi na kiusalama !!!

mdogo mdogo mtaelewa tu kuwa hiiii mbungi NETANYAHU ataboi,,

inasemekana kwasasa Neta..... anaogopa kusafiri ndege yake itapigwa ikiwa Angan wamepata fununu !!

ndio mana jana Wakashambulia sana YEMEN.. lkn Vita hiii Neta kajichanganya na ndio mwisho wake..
 
Mmmmh!
Haya mkuu
 
Back
Top Bottom