Tutafutie na tuvideo twake sasaKwa taarifa nilizozipata sasa hivi saa 21:30 Mvua ya mabomu imeanza kuwanyeshea WA-Houthi katika bandari za Ras Issa, Salif na Hodeidar tuwaombee tu maana ugomvi huu waliutaka wenyewe!!
Dah!!Houthi wameanza kudeal na vita ya Kisaikolojia.
Hakuna binadamu asiyeogopa kifo Tantalila za Jihad sijui Nini huwa ni brainwashing.
Israel inachofanya ni kama kupaka mate iteleze, Kwanza inawafanya wakimbie kimbie waone kifo mbele
YEMEN kubwa Sana Israel awezi igeuza Gaza wanamipaka mingi bahari lkn pia Myemen ndio Mwarabu mvumilivu zaid kwenye shida kuliko wote !!!!Mbona wenzako wanatambaa kwa sasa.. wameutaka U gaza wameupata maisha magumu kwa sasa na baadae mjiandae kuwachangia chakula kama Hamas
Mmmmh!YEMEN kubwa Sana Israel awezi igeuza Gaza wanamipaka mingi bahari lkn pia Myemen ndio Mwarabu mvumilivu zaid kwenye shida kuliko wote !!!!
ivyo Israel ana cha kuwatisha Wayemen Zaid niyeye Israel kwasasa wanaishi kwa off kuuuu awajui muda gani watachezea kipigo !!!!!
NETANYAHU kawaingiza Waisrael kwenye kichaka cha nungunungu kujitoa awezi !!!!
na kushinda awezi na bado vifo vya IDF vinaendelea wkt pia nchi inapigwa seem muimu zaid za kuichumi na kiusalama !!!
mdogo mdogo mtaelewa tu kuwa hiiii mbungi NETANYAHU ataboi,,
inasemekana kwasasa Neta..... anaogopa kusafiri ndege yake itapigwa ikiwa Angan wamepata fununu !!
ndio mana jana Wakashambulia sana YEMEN.. lkn Vita hiii Neta kajichanganya na ndio mwisho wake..