Tetesi: Israel

Tetesi: Israel

xuxu meyu

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
426
Reaction score
369
Hivi nikweli ndio kinacho endelea israel tangu usiku wa leo.........?
FB_IMG_15421073763273425.jpeg
 
Kweli mwenye taarifa kamili atujulishe
 
Hamas wamerusha rockets 400 zilizodakwa na Izrail 83, hizo nyengine zimepenya , sasaivi waizrail wamejificha kwenye mahandaki, shule na maofisi zimefungwa
 
Hamas wamerusha rockets 400 zilizodakwa na Izrail 83, hizo nyengine zimepenya , sasaivi waizrail wamejificha kwenye mahandaki, shule na maofisi zimefungwa
Haaa haaa haaa tupe chanzo cha habari yako mkuu....
 
Back
Top Bottom