China imsamehe tu. Maana uwezo wa China dah kupigana na Israel HAPANA.Nisiongee sana
Sababu ni kwamba Waziri Mkuu Netanyahu kapata kisingizio kwamba bila china wangeweza kumaliza vita Iran
Wanamshutumu kwamba China wanatoa msaada wa picha za satelite kuonyesha maeneo ya kupiga
Wanashutumu kwamba China wanawapa Iran makombora ya hypersonic missile
Stay tuned
Sponsa wake anasemaje???Nisiongee sana
Sababu ni kwamba Waziri Mkuu Netanyahu kapata kisingizio kwamba bila china wangeweza kumaliza vita Iran
Wanamshutumu kwamba China wanatoa msaada wa picha za satelite kuonyesha maeneo ya kupiga
Wanashutumu kwamba China wanawapa Iran makombora ya hypersonic missile
Stay tuned
Waache kwanza kiwakute kilicho mtoa kanga manyoya 😀Ngoma ikivuma sana hupasuka
Hakuna Taifa la kinafiki duniani kama chinaNisiongee sana