Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Oh waro hoo we kula sambusa za bismillah hotel ni bora kuliko kusikiliza habari kutoka Israel.Wenzio Kule wamepata kipigo cha maana wamepoteana wewe kibodi woria unabisha.
Leta ushahidi kama lengo la kuisambaratisha hamas huko kaskazini limefanikiwa[emoji3]Lengo Kule kaskazini ilikuwa kusambaratisha mtandao wa Hamas na limefanikiwa.
Habari rasmi imetoka kuwa kazi imeisha,kama huamini wewe utuletee ushahidi kuwa hawajamaliza kazi.Leta ushahidi kama lengo la kuisambaratisha hamas huko kaskazini limefanikiwa[emoji3]
Maana hata huyo dadael hagari hajathibitisha hilo
Naona wazayuni wameainisha malengo mapya yale mawili ya awali yakuifuta hamas na kukomboa mateka vipi yamefikiwa ama yameachwa
Israhell hii mbungi hatoboi malengo pekee anayofanikiwa ni kuua wamama na watoto pamoja na kupiga majengo yasio nahatia
Israhell over-rated
Wamehairisha eti wanaelekeza nguvu mpaka wa kaskazini. Wamekula kiazi chamoto mdomo unacheza sebeneP R O P A G A N D A tu hizo alafu malengo yao yakuokoa mateka yameishia wapi!?
Muda utaongea stay tune.Wewe ndio unasema?
Cha zaidi HAMAS wenyewe Wana enjoy ndio maana walikataa mpango wa Egypt wa kusitisha vita.Hamna lolote, wanatafuta namna ya kutangaza ushindii ili waondoke wakapigane na Hezbollah hao.
Hii vita huko Gaza sasa hivi inawachafua tu, hawana end game ya maana.
Utatangazaje ushindi dhidi ya HAMAS wakati HAMAS ni watu na Idea na wala siyo eneo!
Hebu mtu atusaidie population yote ya gaza ni watu wangapiIsraeli inasema uongozi wa Hamas umesambaratishwa Gaza kaskazini Msemaji wa jeshi Daniel Hagari amewaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo wa Kipalestina sasa wanaendesha shughuli zao katika eneo hilo "bila ya makamanda".
Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) sasa vinalenga kuisambaratisha Hamas kusini na katikati mwa Gaza, alisema. Israel imeua zaidi ya watu 22,000 tangu vita hivyo kuanza, kwa mujibu wa wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas.
"""""''''''''""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
IDF discloses five objectives for military campaign in north Gaza
Overnight, IDF spokesman Daniel Hagari has said it has "completed the dismantling of Hamas's military framework" in northern Gaza.
He claimed 8,000 Hamas fighters had been killed, though gave no evidence.
There were five objectives for the campaign in the north, he said:
He said now forces were "focusing on dismantling Hamas in the central and southern Gaza Strip".
- Targeting commanders
- Purge the area of terrorists
- Gather intelligence
- Locate and destroy rockets
- Eliminate the subterranean capability (tunnels)
"We will do this differently, thoroughly, based on the lessons we have learned from the fighting so far," he said.
Mr Hagari went on to say in the Jabalia area, the IDF had "eliminated the battalion commander".
He added: "Jabalia is a densely populated area. Before entering such a dense area for combat, we evacuate the population, aiming to prevent harm and protect the civilians."
Gaza ceasefire latest: Hamas 'strongly condemns' decision to postpone prisoner release over 'humiliating' hostage handovers
The office for Benjamin Netanyahu released a statement saying the release of 620 Palestinian prisoners is being "postponed" due to "repeated and ongoing violations by Hamas", including the "disgraceful ceremonies that dishonour the dignity of our abductees".news.sky.com
Blah blah kibao wakati wazayuni wanalia a ha propaganda za kitotoIsraeli inasema uongozi wa Hamas umesambaratishwa Gaza kaskazini Msemaji wa jeshi Daniel Hagari amewaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo wa Kipalestina sasa wanaendesha shughuli zao katika eneo hilo "bila ya makamanda".
Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) sasa vinalenga kuisambaratisha Hamas kusini na katikati mwa Gaza, alisema. Israel imeua zaidi ya watu 22,000 tangu vita hivyo kuanza, kwa mujibu wa wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas.
"""""''''''''""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
IDF discloses five objectives for military campaign in north Gaza
Overnight, IDF spokesman Daniel Hagari has said it has "completed the dismantling of Hamas's military framework" in northern Gaza.
He claimed 8,000 Hamas fighters had been killed, though gave no evidence.
There were five objectives for the campaign in the north, he said:
He said now forces were "focusing on dismantling Hamas in the central and southern Gaza Strip".
- Targeting commanders
- Purge the area of terrorists
- Gather intelligence
- Locate and destroy rockets
- Eliminate the subterranean capability (tunnels)
"We will do this differently, thoroughly, based on the lessons we have learned from the fighting so far," he said.
Mr Hagari went on to say in the Jabalia area, the IDF had "eliminated the battalion commander".
He added: "Jabalia is a densely populated area. Before entering such a dense area for combat, we evacuate the population, aiming to prevent harm and protect the civilians."
Gaza ceasefire latest: Hamas 'strongly condemns' decision to postpone prisoner release over 'humiliating' hostage handovers
The office for Benjamin Netanyahu released a statement saying the release of 620 Palestinian prisoners is being "postponed" due to "repeated and ongoing violations by Hamas", including the "disgraceful ceremonies that dishonour the dignity of our abductees".news.sky.com
Warushie kutokea wapi,wakati wamedhibitiwa vilivyo,akina mama na watoto wamehamishwa kwahiyo hakuna pa kujifichiaWale kima naona sasa hawarushi tena maroketi.
GOD BLESS ISRAEL
Wamewakimbiza au wameondoka baada ya kuimaliza kazi?,wameenda kuwadhibiti wahuni wengine wa Hezbollah.Hamas imewakimbiza hawa nduguzenu na hizi ni special forces groups
View attachment 2864939
1st Golani Brigade
View attachment 2864940
Givati Brigade
View attachment 2864941
130th Brigade
View attachment 2864938
Kfir Brigade
Oketz unit
Sayeret Matkal
Shayetet 13
Unit 669
35th Paratroopers Brigade
Alpinist
Duvdevan unit
Egoz unit
Maglan
Nahal Brigade
Shaldag Unit
Yahalom unit
Kunja
Kulia kwenye vita ni kawaida,uliza kipindi anadhibitiwa idd Amin,licha ya kumfurushia mbali lakini baadhi ya wapendwa wetu waliopotea na maombolezo yalikuwepo.Blah blah kibao wakati wazayuni wanalia a ha propaganda za kitotoView attachment 2864926View attachment 2864927View attachment 2864929
kwani ushhidi wa kwamba wao wanasema ukweli upo wapiLete ushahidi kwamba yaliyosemwa ni uongo.
Ml 2.3 kama sijakosea.Hebu mtu atusaidie population yote ya gaza ni watu wangapi
Hamas wameacha kurusha maroketi baada ya kudhibitiwakwani ushhidi wa kwamba wao wanasema ukweli upo wapi
kwanini unadhani kusema hivyo ndo ushahidi...umechekesha sana mzeeHamas wameacha kurusha maroketi baada ya kudhibitiwa
Kama huamini baki hivyo mkuu,lakini wale wahuni ndio basi tena,hamas haitakuwepo tena.kwanini unadhani kusema hivyo ndo ushahidi...umechekesha sana mzee