Israeli inasema malengo yao Gaza kaskazini yamefikiwa huku utawala wa Hamas ukisambaratishiwa mbali,yaainisha malengo matano ambayo yalikusudiwa.

Israeli inasema malengo yao Gaza kaskazini yamefikiwa huku utawala wa Hamas ukisambaratishiwa mbali,yaainisha malengo matano ambayo yalikusudiwa.

Wenzio Kule wamepata kipigo cha maana wamepoteana wewe kibodi woria unabisha.
Oh waro hoo we kula sambusa za bismillah hotel ni bora kuliko kusikiliza habari kutoka Israel.

Kesho usishangae wakakuambia Central command ya Hezbullah wameikuta kwenye master bedroom ya Netanyahu
 
Lengo Kule kaskazini ilikuwa kusambaratisha mtandao wa Hamas na limefanikiwa.
Leta ushahidi kama lengo la kuisambaratisha hamas huko kaskazini limefanikiwa[emoji3]
Maana hata huyo dadael hagari hajathibitisha hilo
Naona wazayuni wameainisha malengo mapya yale mawili ya awali yakuifuta hamas na kukomboa mateka vipi yamefikiwa ama yameachwa
Israhell hii mbungi hatoboi malengo pekee anayofanikiwa ni kuua wamama na watoto pamoja na kupiga majengo yasio nahatia
Israhell over-rated
 
Habari rasmi imetoka kuwa kazi imeisha,kama huamini wewe utuletee ushahidi kuwa hawajamaliza kazi.
 
P R O P A G A N D A tu hizo alafu malengo yao yakuokoa mateka yameishia wapi!?
Wamehairisha eti wanaelekeza nguvu mpaka wa kaskazini. Wamekula kiazi chamoto mdomo unacheza sebene

12,500 Israeli soldiers have been disabled since October 7th
#إنفوغراف #حرب_غزة
 
Attachments

  • FB_IMG_1704647218043.jpg
    FB_IMG_1704647218043.jpg
    126.9 KB · Views: 4
Hamna lolote, wanatafuta namna ya kutangaza ushindii ili waondoke wakapigane na Hezbollah hao.

Hii vita huko Gaza sasa hivi inawachafua tu, hawana end game ya maana.

Utatangazaje ushindi dhidi ya HAMAS wakati HAMAS ni watu na Idea na wala siyo eneo!
Cha zaidi HAMAS wenyewe Wana enjoy ndio maana walikataa mpango wa Egypt wa kusitisha vita.

Wameweka masharti magumu ambayo haya kubaliki Kwao. Ni kama PUTIN hata Zelensky kashindwa kurudi meza ya mazungumzo. maana matakwa yake hayakubaliki, ukikubali unakua umepoteza juhudi zote. Na kuonekana wewe ndio ume miscommunication.
 
Israeli inasema uongozi wa Hamas umesambaratishwa Gaza kaskazini Msemaji wa jeshi Daniel Hagari amewaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo wa Kipalestina sasa wanaendesha shughuli zao katika eneo hilo "bila ya makamanda".

Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) sasa vinalenga kuisambaratisha Hamas kusini na katikati mwa Gaza, alisema. Israel imeua zaidi ya watu 22,000 tangu vita hivyo kuanza, kwa mujibu wa wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas.
"""""''''''''""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""

IDF discloses five objectives for military campaign in north Gaza​

Overnight, IDF spokesman Daniel Hagari has said it has "completed the dismantling of Hamas's military framework" in northern Gaza.
He claimed 8,000 Hamas fighters had been killed, though gave no evidence.
There were five objectives for the campaign in the north, he said:
  • Targeting commanders
  • Purge the area of terrorists
  • Gather intelligence
  • Locate and destroy rockets
  • Eliminate the subterranean capability (tunnels)
He said now forces were "focusing on dismantling Hamas in the central and southern Gaza Strip".
"We will do this differently, thoroughly, based on the lessons we have learned from the fighting so far," he said.
Mr Hagari went on to say in the Jabalia area, the IDF had "eliminated the battalion commander".
He added: "Jabalia is a densely populated area. Before entering such a dense area for combat, we evacuate the population, aiming to prevent harm and protect the civilians."
Hebu mtu atusaidie population yote ya gaza ni watu wangapi
 
Blah blah kibao wakati wazayuni wanalia a ha propaganda za kitoto
IMG_20231227_225021.jpg
IMG_20231227_181802.jpg
IMG_20240106_161915.jpg
 
Hamas imewakimbiza hawa nduguzenu na hizi ni special forces groups

1704649274653.png

1st Golani Brigade

1704649274787.png

Givati Brigade

1704649274916.png

130th Brigade

1704649275051.png

Kfir Brigade

images

Oketz unit

images

Sayeret Matkal

images

Shayetet 13

images

Unit 669

images

35th Paratroopers Brigade

images

Alpinist

images

Duvdevan unit

images

Egoz unit

images

Maglan

images

Nahal Brigade

images

Shaldag Unit

images

Yahalom unit

Kunja
 
Hamas imewakimbiza hawa nduguzenu na hizi ni special forces groups

View attachment 2864939
1st Golani Brigade

View attachment 2864940
Givati Brigade

View attachment 2864941
130th Brigade

View attachment 2864938
Kfir Brigade

images

Oketz unit

images

Sayeret Matkal

images

Shayetet 13

images

Unit 669

images

35th Paratroopers Brigade

images

Alpinist

images

Duvdevan unit

images

Egoz unit

images

Maglan

images

Nahal Brigade

images

Shaldag Unit

images

Yahalom unit

Kunja
Wamewakimbiza au wameondoka baada ya kuimaliza kazi?,wameenda kuwadhibiti wahuni wengine wa Hezbollah.
 
Back
Top Bottom