Hamas haitakuwepo tena haikuanza leo JOKama huamini baki hivyo mkuu,lakini wale wahuni ndio basi tena,hamas haitakuwepo tena.
Waongo hawa jamaa.Israeli inasema uongozi wa Hamas umesambaratishwa Gaza kaskazini Msemaji wa jeshi Daniel Hagari amewaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo wa Kipalestina sasa wanaendesha shughuli zao katika eneo hilo "bila ya makamanda".
Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) sasa vinalenga kuisambaratisha Hamas kusini na katikati mwa Gaza, alisema. Israel imeua zaidi ya watu 22,000 tangu vita hivyo kuanza, kwa mujibu wa wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas.
"""""''''''''""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
IDF discloses five objectives for military campaign in north Gaza
Overnight, IDF spokesman Daniel Hagari has said it has "completed the dismantling of Hamas's military framework" in northern Gaza.
He claimed 8,000 Hamas fighters had been killed, though gave no evidence.
There were five objectives for the campaign in the north, he said:
He said now forces were "focusing on dismantling Hamas in the central and southern Gaza Strip".
- Targeting commanders
- Purge the area of terrorists
- Gather intelligence
- Locate and destroy rockets
- Eliminate the subterranean capability (tunnels)
"We will do this differently, thoroughly, based on the lessons we have learned from the fighting so far," he said.
Mr Hagari went on to say in the Jabalia area, the IDF had "eliminated the battalion commander".
He added: "Jabalia is a densely populated area. Before entering such a dense area for combat, we evacuate the population, aiming to prevent harm and protect the civilians."
Gaza ceasefire latest: Hamas 'strongly condemns' decision to postpone prisoner release over 'humiliating' hostage handovers
The office for Benjamin Netanyahu released a statement saying the release of 620 Palestinian prisoners is being "postponed" due to "repeated and ongoing violations by Hamas", including the "disgraceful ceremonies that dishonour the dignity of our abductees".news.sky.com
Wamewakimbiza au wameondoka baada ya kuimaliza kazi?,wameenda kuwadhibiti wahuni wengine wa Hezbollah.
Vipi kaskazini kazi iliisha au bado unataka ushahidi ewe zayuni wa jf [emoji3][emoji1787][emoji3]Habari rasmi imetoka kuwa kazi imeisha,kama huamini wewe utuletee ushahidi kuwa hawajamaliza kazi.
Wangekuwa wamefaulu mateka wangekuwa wameisha wapata.Lete ushahidi kwamba yaliyosemwa ni uongo.
Hamas siyo jeshi kama anavyitakabyeye, kila mmmoja hap I ni kamanda.Israeli inasema uongozi wa Hamas umesambaratishwa Gaza kaskazini Msemaji wa jeshi Daniel Hagari amewaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo wa Kipalestina sasa wanaendesha shughuli zao katika eneo hilo "bila ya makamanda".
Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) sasa vinalenga kuisambaratisha Hamas kusini na katikati mwa Gaza, alisema. Israel imeua zaidi ya watu 22,000 tangu vita hivyo kuanza, kwa mujibu wa wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas.
"""""''''''''""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
IDF discloses five objectives for military campaign in north Gaza
Overnight, IDF spokesman Daniel Hagari has said it has "completed the dismantling of Hamas's military framework" in northern Gaza.
He claimed 8,000 Hamas fighters had been killed, though gave no evidence.
There were five objectives for the campaign in the north, he said:
He said now forces were "focusing on dismantling Hamas in the central and southern Gaza Strip".
- Targeting commanders
- Purge the area of terrorists
- Gather intelligence
- Locate and destroy rockets
- Eliminate the subterranean capability (tunnels)
"We will do this differently, thoroughly, based on the lessons we have learned from the fighting so far," he said.
Mr Hagari went on to say in the Jabalia area, the IDF had "eliminated the battalion commander".
He added: "Jabalia is a densely populated area. Before entering such a dense area for combat, we evacuate the population, aiming to prevent harm and protect the civilians."
Gaza ceasefire latest: Hamas 'strongly condemns' decision to postpone prisoner release over 'humiliating' hostage handovers
The office for Benjamin Netanyahu released a statement saying the release of 620 Palestinian prisoners is being "postponed" due to "repeated and ongoing violations by Hamas", including the "disgraceful ceremonies that dishonour the dignity of our abductees".news.sky.com
Hamas wanatembeza kichapo balaaHamas siyo jeshi kama anavyitakabyeye, kila mmmoja hap I ni kamanda.
Unewamalizq Hamas na sasa wanakupiga mpaka ndani ya Tel Aviv?
Anatafuta njia za kuondoka tu h8yo huku aonekane kaiwezq kazi.
Alichiweza huyu ni kibomowa majengo kuuwa watoto na wanawake tu.
Hamas ndiyo kwanza wanekuja na ilaha mpya. Zinawadunguwa mazayuni vibaya sana.
Hatudanganyiki.
walitaka wenyeweAisee,hii dunia si pahala salama aisee
jifurahishe tu watu wapo Gaza na nasikia washatia miguu huko Lebanon1. Failure
- Targeting commanders
- Purge the area of terrorists
- Gather intelligence
- Locate and destroy rockets
- Eliminate the subterranean capability (tunnels)
2. failure
3. fairule
4. fairule
5. failure
lin walisema lin wanaenda kuokoa matekaP R O P A G A N D A tu hizo alafu malengo yao yakuokoa mateka yameishia wapi!?
wamefer na wapo ndan ya Gaza na hatuwaon Hamas hata kujamba wanahofia kushushiwa vyumahao ndugu zako WAMEFAIL vibaya!
mkuu wai hospital una ugonjwa wa akili , wenzio wanaenda ICJ kulia lia wewe upo busy kujifurahisha hukuvipi kukomboa mateka siyo malengo vipi tapata tenda ya vyama chakavu huko Gaza vile vifaru na magari ya vita yaliharibiwa na Hamas.
Vipi malengo ya vifo vya wanajeshi vingapi?
Malengo ya wanajeshi vilema wangapi?

Sawa
We jamaa ficha ujinga wako hata kidogo.
Hivi ndivyo IDF wanavyodhibiti watu ilhali bado watu wanafanya mashambulizi??jifurahishe tu watu wapo Gaza na nasikia washatia miguu huko Lebanon
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using
😄 we baki unaota kwenye mashamba ya matangoWenzio Kule wamepata kipigo cha maana wamepoteana wewe kibodi woria unabisha.