Israeli inasema malengo yao Gaza kaskazini yamefikiwa huku utawala wa Hamas ukisambaratishiwa mbali,yaainisha malengo matano ambayo yalikusudiwa.

Israeli inasema uongozi wa Hamas umesambaratishwa Gaza kaskazini Msemaji wa jeshi Daniel Hagari amewaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo wa Kipalestina sasa wanaendesha shughuli zao katika eneo hilo "bila ya makamanda".

Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) sasa vinalenga kuisambaratisha Hamas kusini na katikati mwa Gaza, alisema. Israel imeua zaidi ya watu 22,000 tangu vita hivyo kuanza, kwa mujibu wa wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas.
"""""''''''''""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""

IDF discloses five objectives for military campaign in north Gaza​

Overnight, IDF spokesman Daniel Hagari has said it has "completed the dismantling of Hamas's military framework" in northern Gaza.
He claimed 8,000 Hamas fighters had been killed, though gave no evidence.
There were five objectives for the campaign in the north, he said:
  • Targeting commanders
  • Purge the area of terrorists
  • Gather intelligence
  • Locate and destroy rockets
  • Eliminate the subterranean capability (tunnels)
He said now forces were "focusing on dismantling Hamas in the central and southern Gaza Strip".
"We will do this differently, thoroughly, based on the lessons we have learned from the fighting so far," he said.
Mr Hagari went on to say in the Jabalia area, the IDF had "eliminated the battalion commander".
He added: "Jabalia is a densely populated area. Before entering such a dense area for combat, we evacuate the population, aiming to prevent harm and protect the civilians."
Waongo hawa jamaa.
Tarehe 12 na 13 hamas walirusha rockets sderot na zilifanya uharibifu.
Ngoja ntafute ile habari niilete hapa.
Hamas hawajadhibitiwa.
 
Israeli inasema uongozi wa Hamas umesambaratishwa Gaza kaskazini Msemaji wa jeshi Daniel Hagari amewaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo wa Kipalestina sasa wanaendesha shughuli zao katika eneo hilo "bila ya makamanda".

Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) sasa vinalenga kuisambaratisha Hamas kusini na katikati mwa Gaza, alisema. Israel imeua zaidi ya watu 22,000 tangu vita hivyo kuanza, kwa mujibu wa wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas.
"""""''''''''""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""

IDF discloses five objectives for military campaign in north Gaza​

Overnight, IDF spokesman Daniel Hagari has said it has "completed the dismantling of Hamas's military framework" in northern Gaza.
He claimed 8,000 Hamas fighters had been killed, though gave no evidence.
There were five objectives for the campaign in the north, he said:
  • Targeting commanders
  • Purge the area of terrorists
  • Gather intelligence
  • Locate and destroy rockets
  • Eliminate the subterranean capability (tunnels)
He said now forces were "focusing on dismantling Hamas in the central and southern Gaza Strip".
"We will do this differently, thoroughly, based on the lessons we have learned from the fighting so far," he said.
Mr Hagari went on to say in the Jabalia area, the IDF had "eliminated the battalion commander".
He added: "Jabalia is a densely populated area. Before entering such a dense area for combat, we evacuate the population, aiming to prevent harm and protect the civilians."
Hamas siyo jeshi kama anavyitakabyeye, kila mmmoja hap I ni kamanda.

Unewamalizq Hamas na sasa wanakupiga mpaka ndani ya Tel Aviv?
Anatafuta njia za kuondoka tu h8yo huku aonekane kaiwezq kazi.

Alichiweza huyu ni kibomowa majengo kuuwa watoto na wanawake tu.

Hamas ndiyo kwanza wanekuja na ilaha mpya. Zinawadunguwa mazayuni vibaya sana.

Hatudanganyiki.
 
Hamas wanatembeza kichapo balaa
 
  • Targeting commanders
  • Purge the area of terrorists
  • Gather intelligence
  • Locate and destroy rockets
  • Eliminate the subterranean capability (tunnels)
1. Failure
2. failure
3. fairule
4. fairule
5. failure
jifurahishe tu watu wapo Gaza na nasikia washatia miguu huko Lebanon

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
vipi kukomboa mateka siyo malengo vipi tapata tenda ya vyama chakavu huko Gaza vile vifaru na magari ya vita yaliharibiwa na Hamas.

Vipi malengo ya vifo vya wanajeshi vingapi?

Malengo ya wanajeshi vilema wangapi?
mkuu wai hospital una ugonjwa wa akili , wenzio wanaenda ICJ kulia lia wewe upo busy kujifurahisha huku

lin walisema lin wanaenda kuokoa mateka

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
We jamaa ficha ujinga wako hata kidogo.
Netanyahu alisema vita haitaisha mpaka mateka waokolewe na hamas wafutwe.
Ila mateka hajaokoa na hamas bado wanadunda.
Tarehe 12 na 13 Sderot imepigwa na hamas rockets mmedhibiti wapi sasa??
 
Attachments

  • Screenshot_2024-01-19-12-38-53-26_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-01-19-12-38-53-26_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    139.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom