Israeli inatorosha madini kutoka Congo kupitia Rwanda

Israeli inatorosha madini kutoka Congo kupitia Rwanda

Inadaiwa miaka ya 60 wakati Congo inapata Uhuru, mashariki ya Congo ilitaka kujitenga, Israel ilikuwa ni Kati ya nchi zinazoiunga mkono hio nchi mpya, sijawahi kuelewa ni kwa nini
 
Ukiona Dictator halalamikiwi jua anatimiza maslahi yao
What kind of evidence do you want..!!??👇


 
Siyo israel tu, mataifa mengi ya ulaya na amerika yanaitumia rwanda kama kichochoro cha kupitishia mali zinazoporwa kongo na kwingineko, lakini pia rwanda ni muuzaji mkubwa tu wa madini hizo zinazotoka congo, asijifanye eti huwa zinapita tu.
 
Back
Top Bottom