Israeli military attacked more than 250 targets in Syria: Report

Syria ina silaha za nukes, Israel inachfanya ni ili hizo silaha zisije tua mikononi mwa magaidi na kusababisha maangamizi,
 
Hiyo imefanyika kwa baraka za utawala mpya. Lengo ni kuzuia wafuasi wa Assad kuhamisha silaha hizo na kuwafikishia Hezbollah ambao mpaka sasa bado wanadhibiti maeneo madogo ya mpakani mwa Syria na Lebanon.

Kwa Hezbollah kukosa silaha, inakuwa paralyzed, na haiwezi kuwa threat kwa utawala mpya, serikali ya Lebanon wala kwa Israel. Hezbollah watakuwa hawana silaha, na link kati yao na Iran, imekatika.
Kwamba utawala mpya wao hawahitaji hizo Siraha?. Zitahamishwaje bila ruhusa ya utawala mpya?. Kwa nini utawala mpya wasishirikiane na Israel kulinda hizo Siraha Incase adui yao Iran akishambulia Serikali mpya watumie hizo Siraha kumkabili?.
 
Mashariki ya kati inaenda kutulia sasa japo kwa kinafiki maana uwepo wa kutokuelewana kwa pande zaidi ya mbili italeta confusion ambapo kila kundi litanufaika na kila upande wa adui yake hivyo kumfanya mwenye akili kumzidi mwenzake ajichukulie point.
 
Ndio tuwaulize nyumbu watuambie mana walikuwa wanapigia upatu kudondoshwa ASSAD mm mwanzo niliwaambia awajamaa wapya mbona wana Bendera ya PALESTINE kuna nyumbu m'moja akanijibu ile sio Bendera ya Palestine !!! Lkn nikajisemea Yajayo Yanapendeza na kuwachukiza !!! Juzi tu Hezbolah kauwa IDF wengi inadaiwa 11 lkn Israel katangaza IDF 4 ndio wamekufa!! Kwasasa ISRAEL kashajua yupo hoi kivita anachofanya ni kuzuiya kabisa vita na yoyote kati ya HIZBOLLAH na SYRIA mpya jamaaa wasianzishe vita nayeye ndani ya lile Jesh la Waasi kuna Wachechinia wengi Jesh na Israel upande wa Anga wapo oky awajaasilika sana japo tukumbuke Iran ktk Promis 2 iliwalenga awa jamaa w Anga lkn Wapo oky na ndio uzima au Uhai w Israel kwasasa. Lkn ardhin jesh lao lipo hoi na limepoteza nguvu na utash wa vijana kupigana Israel kwasasa tutaona akifanya mashambulizi mengi kuzuiya wale Jamaa w Syria mpya wasijipange kuanza vita nawao ni Hatari kubwa kwa Israel,, Hatari....... nyengine ipo ivi kunasiku nilileta andiko kuusu mgogoro w Palestin unachagizwa pia na Umadhehebu yani Ushia vs Usuni Iran ni mshia anataka kuwasaidia Wapalestin lkn pia anataka kudhibiti maeneo matakatifu, kwaiyo wa Suni wanawasiwasi na ajenda ya Iran ndio mana Wasuni kama vile upande mmoja wanawaonea uruma wa Palestin lkn upande mwengine awataki Iran ashinde mgogoro na Israel!!!! Narudia tn Hatari sasa Wasuni wamepata uwanja wao huru wa kuwasaidia Wapalentin wakiwa free mana SYRIA aina mikataba yoyote na ISRAEL tofaut na MISRI na JORDAN hii inamana Wamisri w Jordan vijana kwasasa wanaweza kupitia Syria kwenya kupigana na Israel ivyoivyo kwamataifa ya Kisun vijana wao wataenda Sryia naiyona SYRIA ikiwa uwanja wa vita usio namwenyewe leo Wa Syria wanatoka ukimbizini seem mbalimbali lkn sio muda mrefu watatafuta tena ukimbizi seem mbalimbali na Hezbolah watajikita tu kuikomboa ardhi ya Lebanon kutoka Israel lkn awatoenda zaid ikiwa Wasuni wataonekana kufanikiwa kuidhiti Israel. Apo ndio tutakumbuka ileee ndoa ya Zamani kati ya IRAN na ISRAEL israel inafaam Iran na Washia ni wachache mbele ya Wasuni ndio miaka ya nyuma ikataka Washilikiane kimkakati kuwathibiti Wasuni walienda vizuri uko nyuma lkn ndoa ilikufa baada ya Mapinduzi ya IRAN Iran mpya ikaanza kushilikiana na Wakombozi wa Palestine adi leo. Japo kwasasa kukuwa mpasuko Waumadheebu tunauwona kunaweza kupunguza alakati za Iran kuelekea Israel. Zaid itajikita YEMEN na IRAQ.
Pumba miksa shudu
 
Hii ni kuhakikisha kuwa Syria inakuwa nchi ambayo haina uwezo kabisa wa kijeshi,maana kama wangekuwa na nia njema na hao wanamgambo wangewaachia hivyo vifaa
 
Takataka mixture ushuzi
 
An Israeli security source tells local media that the country’s military has carried out “one of the largest attack operations in the history of its air force” in Syria following al-Assad’s removal.

The unnamed source told the state-funded Israeli Army Radio that “more than 250 military targets were attacked in Syria”.

The source added that targets included “bases of the Assad army, dozens of fighter jets, dozens of surface-to-air missile systems, production sites and warehouses […] and surface-to-surface missiles

Al Jazeera
Ananifurahishaga yule msemaji wao Admiral Major General Daniel Hagari, anakuambia,

''...the IDF, right now at this moment, is conducting precise air strikes in military targets in Iran''
 
Wanakuambia Istanbul muji wenye Mkusanyiko wa
Ananifurahishaga yule msemaji wao Admiral Major General Daniel Hagari, anakuambia,

''...the IDF, right now at this moment, is conducting precise air strikes in military targets in Iran''
 
Aliziweka juu zote kama kibanda cha m pesa?!

Israel penetrated Syria and Iran. Hezbollah has been decimated because at the moment Iran cannot support it.
The exposure now is the new regime in Syria. If the new regime is associated anyhow with Saudi, the Iran will have an enemy at the door 🚪
 
An Israeli security source tells local media that the country’s military has carried out “one of the largest attack operations in the history of its air force” in Syria following al-Assad’s removal.

The unnamed source told the state-funded Israeli Army Radio that “more than 250 military targets were attacked in Syria”.

The source added that targets included “bases of the Assad army, dozens of fighter jets, dozens of surface-to-air missile systems, production sites and warehouses […] and surface-to-surface missiles

Al Jazeera
Hayo mabomu wanayatumia hovyo hovyo kwa kuwa sio kodi za wananchi wao
 
Ananifurahishaga yule msemaji wao Admiral Major General Daniel Hagari, anakuambia,

''...the IDF, right now at this moment, is conducting precise air strikes in military targets in Iran''
Cha kushangaza hiyo precise walishindwa kuionyesha wakabaki na propaganda za kualika wa chambuzi wa setalite image kuwa viwanda vya kuzalisha silaha vliharibiwa vibaya
 
Ndio tuwaulize nyumbu watuambie mana walikuwa wanapigia upatu kudondoshwa ASSAD mm mwanzo niliwaambia awajamaa wapya mbona wana Bendera ya PALESTINE kuna nyumbu m'moja akanijibu ile sio Bendera ya Palestine !!! Lkn nikajisemea Yajayo Yanapendeza na kuwachukiza !!! Juzi tu Hezbolah kauwa IDF wengi inadaiwa 11 lkn Israel katangaza IDF 4 ndio wamekufa!! Kwasasa ISRAEL kashajua yupo hoi kivita anachofanya ni kuzuiya kabisa vita na yoyote kati ya HIZBOLLAH na SYRIA mpya jamaaa wasianzishe vita nayeye ndani ya lile Jesh la Waasi kuna Wachechinia wengi Jesh na Israel upande wa Anga wapo oky awajaasilika sana japo tukumbuke Iran ktk Promis 2 iliwalenga awa jamaa w Anga lkn Wapo oky na ndio uzima au Uhai w Israel kwasasa. Lkn ardhin jesh lao lipo hoi na limepoteza nguvu na utash wa vijana kupigana Israel kwasasa tutaona akifanya mashambulizi mengi kuzuiya wale Jamaa w Syria mpya wasijipange kuanza vita nawao ni Hatari kubwa kwa Israel,, Hatari....... nyengine ipo ivi kunasiku nilileta andiko kuusu mgogoro w Palestin unachagizwa pia na Umadhehebu yani Ushia vs Usuni Iran ni mshia anataka kuwasaidia Wapalestin lkn pia anataka kudhibiti maeneo matakatifu, kwaiyo wa Suni wanawasiwasi na ajenda ya Iran ndio mana Wasuni kama vile upande mmoja wanawaonea uruma wa Palestin lkn upande mwengine awataki Iran ashinde mgogoro na Israel!!!! Narudia tn Hatari sasa Wasuni wamepata uwanja wao huru wa kuwasaidia Wapalentin wakiwa free mana SYRIA aina mikataba yoyote na ISRAEL tofaut na MISRI na JORDAN hii inamana Wamisri w Jordan vijana kwasasa wanaweza kupitia Syria kwenya kupigana na Israel ivyoivyo kwamataifa ya Kisun vijana wao wataenda Sryia naiyona SYRIA ikiwa uwanja wa vita usio namwenyewe leo Wa Syria wanatoka ukimbizini seem mbalimbali lkn sio muda mrefu watatafuta tena ukimbizi seem mbalimbali na Hezbolah watajikita tu kuikomboa ardhi ya Lebanon kutoka Israel lkn awatoenda zaid ikiwa Wasuni wataonekana kufanikiwa kuidhiti Israel. Apo ndio tutakumbuka ileee ndoa ya Zamani kati ya IRAN na ISRAEL israel inafaam Iran na Washia ni wachache mbele ya Wasuni ndio miaka ya nyuma ikataka Washilikiane kimkakati kuwathibiti Wasuni walienda vizuri uko nyuma lkn ndoa ilikufa baada ya Mapinduzi ya IRAN Iran mpya ikaanza kushilikiana na Wakombozi wa Palestine adi leo. Japo kwasasa kukuwa mpasuko Waumadheebu tunauwona kunaweza kupunguza alakati za Iran kuelekea Israel. Zaid itajikita YEMEN na IRAQ.
Sheikh umejichanganya Israel aliye hoi ndo anapiga huko Syria. Hizbullah aliye hai na hamas ndo wamelala. Israel alikuwa anataka Assad atoke then ajipigie Syria kuidhoofisha kabisa. Umeona Iran ikisaidia? Urus je? Israel inachofanya ni kumalizia malizia kila magaidi walipo. Gaza umeiona inavyopendeza kwa sasa? Iran ilivyopigika imelipiza mpka sasa?
 
Cha kushangaza hiyo precise walishindwa kuionyesha wakabaki na propaganda za kualika wa chambuzi wa setalite image kuwa viwanda vya kuzalisha silaha vliharibiwa vibaya
Iran waliopigwa walikiri sisi wairan wa kwa buguruni mnyamani tunabisha sana na kuumizwa.
 
Ndio tuwaulize nyumbu watuambie mana walikuwa wanapigia upatu kudondoshwa ASSAD mm mwanzo niliwaambia awajamaa wapya mbona wana Bendera ya PALESTINE kuna nyumbu m'moja akanijibu ile sio Bendera ya Palestine !!! Lkn nikajisemea Yajayo Yanapendeza na kuwachukiza !!! Juzi tu Hezbolah kauwa IDF wengi inadaiwa 11 lkn Israel katangaza IDF 4 ndio wamekufa!! Kwasasa ISRAEL kashajua yupo hoi kivita anachofanya ni kuzuiya kabisa vita na yoyote kati ya HIZBOLLAH na SYRIA mpya jamaaa wasianzishe vita nayeye ndani ya lile Jesh la Waasi kuna Wachechinia wengi Jesh na Israel upande wa Anga wapo oky awajaasilika sana japo tukumbuke Iran ktk Promis 2 iliwalenga awa jamaa w Anga lkn Wapo oky na ndio uzima au Uhai w Israel kwasasa. Lkn ardhin jesh lao lipo hoi na limepoteza nguvu na utash wa vijana kupigana Israel kwasasa tutaona akifanya mashambulizi mengi kuzuiya wale Jamaa w Syria mpya wasijipange kuanza vita nawao ni Hatari kubwa kwa Israel,, Hatari....... nyengine ipo ivi kunasiku nilileta andiko kuusu mgogoro w Palestin unachagizwa pia na Umadhehebu yani Ushia vs Usuni Iran ni mshia anataka kuwasaidia Wapalestin lkn pia anataka kudhibiti maeneo matakatifu, kwaiyo wa Suni wanawasiwasi na ajenda ya Iran ndio mana Wasuni kama vile upande mmoja wanawaonea uruma wa Palestin lkn upande mwengine awataki Iran ashinde mgogoro na Israel!!!! Narudia tn Hatari sasa Wasuni wamepata uwanja wao huru wa kuwasaidia Wapalentin wakiwa free mana SYRIA aina mikataba yoyote na ISRAEL tofaut na MISRI na JORDAN hii inamana Wamisri w Jordan vijana kwasasa wanaweza kupitia Syria kwenya kupigana na Israel ivyoivyo kwamataifa ya Kisun vijana wao wataenda Sryia naiyona SYRIA ikiwa uwanja wa vita usio namwenyewe leo Wa Syria wanatoka ukimbizini seem mbalimbali lkn sio muda mrefu watatafuta tena ukimbizi seem mbalimbali na Hezbolah watajikita tu kuikomboa ardhi ya Lebanon kutoka Israel lkn awatoenda zaid ikiwa Wasuni wataonekana kufanikiwa kuidhiti Israel. Apo ndio tutakumbuka ileee ndoa ya Zamani kati ya IRAN na ISRAEL israel inafaam Iran na Washia ni wachache mbele ya Wasuni ndio miaka ya nyuma ikataka Washilikiane kimkakati kuwathibiti Wasuni walienda vizuri uko nyuma lkn ndoa ilikufa baada ya Mapinduzi ya IRAN Iran mpya ikaanza kushilikiana na Wakombozi wa Palestine adi leo. Japo kwasasa kukuwa mpasuko Waumadheebu tunauwona kunaweza kupunguza alakati za Iran kuelekea Israel. Zaid itajikita YEMEN na IRAQ.
Unaonekana umeumizwa sana. Kwa huu uandishi lazima uumie na utachakaa sana.
 
Cha kushangaza hiyo precise walishindwa kuionyesha wakabaki na propaganda za kualika wa chambuzi wa setalite image kuwa viwanda vya kuzalisha silaha vliharibiwa vibaya
Sasa wangeionyeshaje? Yaani badala ya kufanya strikes wangeanza kupiga picha?
 
Umeandika gazeti, lakini kwa sasa Hezbollah na wapiganaji waliomtoa Assad kwa sasa ni kama mbwa asiye na meno maana silaha zote zimeteketezwa wakati mapinduzi yakiendelea, Israel imeshachukua mlima Helmon na miji sita ya Syria bila upinzani wowote, na vimekuwa mali yake. Kwa ufupi imejikatia nyama inayomfaa
kwa ww kusema hivi unakubali kwamba israel ndio mchokozi na mvurugaji wa amani middle east..yaani israel inavamia nchi za wengine anachukua miji yao kinguvu tena kwa mauaji alafu wenye nchi yao wakitaka miji yao kwa kuwafukuza israel tunawaona wabaya na wagomvi kumbe ni israel ndio anae wafanyia wenzie ukatili na kuwafanya wasiishi kwa amani kwenye nchi zao kuanzia palestina na sasa syria wanajitwalia miji na wanawaua wakazi wa miji hiyo na wakija kulipiziwa dunia inakuja juu eti ooh waarabu ndio wanaichokoza israel wakati ukweli ni kinyume chake tunayaona sasa hapo syria na baada ya miaka miwili ijayo wasyria watataka kurudisha hiyo miji yao ndio tutayaona yale ya gaza..
 
Hakuna nchi inayoitwa Syria au Lebanon. Vyote hivyo vilikuwa ni vitongoji vya Israel
 
Back
Top Bottom