Israeli military attacked more than 250 targets in Syria: Report

Syria ina silaha za nukes, Israel inachfanya ni ili hizo silaha zisije tua mikononi mwa magaidi na kusababisha maangamizi,
 
Kwamba utawala mpya wao hawahitaji hizo Siraha?. Zitahamishwaje bila ruhusa ya utawala mpya?. Kwa nini utawala mpya wasishirikiane na Israel kulinda hizo Siraha Incase adui yao Iran akishambulia Serikali mpya watumie hizo Siraha kumkabili?.
 
Mashariki ya kati inaenda kutulia sasa japo kwa kinafiki maana uwepo wa kutokuelewana kwa pande zaidi ya mbili italeta confusion ambapo kila kundi litanufaika na kila upande wa adui yake hivyo kumfanya mwenye akili kumzidi mwenzake ajichukulie point.
 
Pumba miksa shudu
 
Hii ni kuhakikisha kuwa Syria inakuwa nchi ambayo haina uwezo kabisa wa kijeshi,maana kama wangekuwa na nia njema na hao wanamgambo wangewaachia hivyo vifaa
 
Takataka mixture ushuzi
 
Ananifurahishaga yule msemaji wao Admiral Major General Daniel Hagari, anakuambia,

''...the IDF, right now at this moment, is conducting precise air strikes in military targets in Iran''
 
Wanakuambia Istanbul muji wenye Mkusanyiko wa
Ananifurahishaga yule msemaji wao Admiral Major General Daniel Hagari, anakuambia,

''...the IDF, right now at this moment, is conducting precise air strikes in military targets in Iran''
 
Aliziweka juu zote kama kibanda cha m pesa?!

Israel penetrated Syria and Iran. Hezbollah has been decimated because at the moment Iran cannot support it.
The exposure now is the new regime in Syria. If the new regime is associated anyhow with Saudi, the Iran will have an enemy at the door 🚪
 
Hayo mabomu wanayatumia hovyo hovyo kwa kuwa sio kodi za wananchi wao
 
Ananifurahishaga yule msemaji wao Admiral Major General Daniel Hagari, anakuambia,

''...the IDF, right now at this moment, is conducting precise air strikes in military targets in Iran''
Cha kushangaza hiyo precise walishindwa kuionyesha wakabaki na propaganda za kualika wa chambuzi wa setalite image kuwa viwanda vya kuzalisha silaha vliharibiwa vibaya
 
Sheikh umejichanganya Israel aliye hoi ndo anapiga huko Syria. Hizbullah aliye hai na hamas ndo wamelala. Israel alikuwa anataka Assad atoke then ajipigie Syria kuidhoofisha kabisa. Umeona Iran ikisaidia? Urus je? Israel inachofanya ni kumalizia malizia kila magaidi walipo. Gaza umeiona inavyopendeza kwa sasa? Iran ilivyopigika imelipiza mpka sasa?
 
Cha kushangaza hiyo precise walishindwa kuionyesha wakabaki na propaganda za kualika wa chambuzi wa setalite image kuwa viwanda vya kuzalisha silaha vliharibiwa vibaya
Iran waliopigwa walikiri sisi wairan wa kwa buguruni mnyamani tunabisha sana na kuumizwa.
 
Unaonekana umeumizwa sana. Kwa huu uandishi lazima uumie na utachakaa sana.
 
Cha kushangaza hiyo precise walishindwa kuionyesha wakabaki na propaganda za kualika wa chambuzi wa setalite image kuwa viwanda vya kuzalisha silaha vliharibiwa vibaya
Sasa wangeionyeshaje? Yaani badala ya kufanya strikes wangeanza kupiga picha?
 
kwa ww kusema hivi unakubali kwamba israel ndio mchokozi na mvurugaji wa amani middle east..yaani israel inavamia nchi za wengine anachukua miji yao kinguvu tena kwa mauaji alafu wenye nchi yao wakitaka miji yao kwa kuwafukuza israel tunawaona wabaya na wagomvi kumbe ni israel ndio anae wafanyia wenzie ukatili na kuwafanya wasiishi kwa amani kwenye nchi zao kuanzia palestina na sasa syria wanajitwalia miji na wanawaua wakazi wa miji hiyo na wakija kulipiziwa dunia inakuja juu eti ooh waarabu ndio wanaichokoza israel wakati ukweli ni kinyume chake tunayaona sasa hapo syria na baada ya miaka miwili ijayo wasyria watataka kurudisha hiyo miji yao ndio tutayaona yale ya gaza..
 
Hakuna nchi inayoitwa Syria au Lebanon. Vyote hivyo vilikuwa ni vitongoji vya Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…