sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Robots zinalima kwa artificial intelligence (akili bandia).Wanao Lima ni watu gani 😂 wafanyakazi wote wako hao ni wa Palestin sa nani atafanya kazi hio 😂
Afu Israel hajitegemei kila kitu kuna vyakula vinatoka nje we tulizana na bado watajuta mchezo ndio umeanza 😂
Jamaa wanaumiza vichwa aisee, pia kumbuka wapo jangwani ila ndio nchi inayoongozea kwa kuwa na wingi wa maji ya kutumia mara tatu kuliko matumizi yao.
vitu vingine wakihitaji vinaletwa na ndege