Robots zinalima kwa artificial intelligence (akili bandia).
Jamaa wanaumiza vichwa aisee, pia kumbuka wapo jangwani ila ndio nchi inayoongozea kwa kuwa na wingi wa maji ya kutumia mara tatu kuliko matumizi yao.
vitu vingine wakihitaji vinaletwa na ndege