Israeli yaelekea kushindwa kuwamaliza na kuwateketeza kundi la Hamas kama walivyoahidi

Unahitaji nini ili ujue wwmeshindwa si kila siku hammas wanarusha maroketi
IDF haija control Gaza yote still bado wanapambana kuithibiti na usichokijua ni kwamba Hizo rockets zinarushwa kwa kuvizia, mtu anajificha hata chooni anarusha rockets na hata zikirushwa idadi haizidi 20 tofauti na mwanzoni ambapo zilikuwa zinafika mpaka rockets 5000
 
Hamas anachapika sana ...
Ni kweli Hamas wanachapika.

Lakini Israeli hawana uwezo wa kupigana “urban warfare” kama nikivyoeleza.

Ndo maana “ground offensive” yawapa shida.

Hamas wamefunzwa urban warfare, gorilla war na “asymmetric war” vita ambayo ni tofauti na ile vita ya kutupiana mabomu pekee kwa kutumia ndege za kıvita na UAVs na badala yake imeua raia waso na hatia sasa namba yasimama 22600.
 
Ndo maana Blinken katumwa tena kwenda Israeli kwani supply ikiisha kwa Hamas, Hizbollah wakilianzisha itakuwa shida kubwa kwa Israel. Hiyo namba ya rockets Hizbollah wana uwezo wa kurusha mara mbili yake na yaweza kufika TelAviv.

Hivyo Blinken yupo pale kuwashawishi Israeli strategy ingine, lakini ni lazima iwe “slow exit strategy”.
 
Ilikuwa kosa kubwa kwa Israeli kuingiza jesh nsdani ya Gaza yanayotokea saivi ni maajabu kwa udogo wa eneo LA Gaza na uwezo wa jeshi la Israeli pamoja na washirika wake imekuwa jambo LA kushangaza sana kuwa bdo hawajawatoa hamas mashimoni
Mkuu, halikuwa kosa bali walikuwa na uhakika wa backup ya West na Marekani.

Ni wahuthi wa Yemen na Algeria wamesaidia Hamas kwa kuzuia meli za mzigo wa silaha.

Sasa waingia sehemu kama Gaza ilo na uwingi wa watu ni vigumu kuanza “ground operation” ambayo hufahamu alipo.

Backup ya West na Marekani namaanisha matumizi ya satellite kusaidia kufahamu walipo Hamas imeshindikana kwani Marekani kawekwa busy baharini Mediterranean na wahuthi.
 
Mbona unaruka ruka kama maarage kwenye chungu mara Hizbollah mara Hamas kaa sehemu moja bas tukuelewe.

Kwa kukusaidia tu IDF inapambana na Hamas hao Hizbullah wanawashwa tu wakiendelea hivyo siku inakuja watakunwa vizur tu kama wenzao wa Gaza.
 
Eti wapiganaji wa Hamas kujitangazia ushindi!! Wakiwa wapi? Humo kwenye mahandaki?

Hivi nyie ndugu zetu katika Imani mna matatizo Gani? Ndo maana Kuna Mtume mwingine wa Hezbollah anasema eti vita ya Gaza iliyoteketeza watu zaidi ya 25,000 lengo lilikuwa ni kupima uwezo wa Israel. Pathetic

Imani zingine ni majanga duniani
 
Mbona unaruka ruka kama maarage kwenye chungu mara Hizbollah mara Hamas kaa sehemu moja bas tukuelewe.

Kwa kukusaidia tu IDF inapambana na Hamas hao Hizbullah wanawashwa tu wakiendelea hivyo siku inakuja watakunwa vizur tu kama wenzao wa Gaza.
Wasikia muziki wa Hezbollah wanoupiga leo?
 
Kabisa mkuu
Mkuu, Proved

Weye waishi West lakini kuna wakati waongea kama mtu ambae upo Kwamtogole.

Usiviamini sana vyombo vya habari vya West vyote wamepigwa biti wasiweke actual news.

Jeremy Bowen ni mmoja wa waandishi nguli ambae amepigwa pini baada ya kusema ni kombola la Israeli ndilo lilopigwa pale Al Shifa Hospital.

Wafuatilie watu kama Lord Bebo ana info za hapa na pale lakini nyingi ni genuine.

Hata source zake ni za uhakika.
 
ISIS ni kikundi cha wahun tuu, mshirika wa MOSAD na CIA, hawezi fanya lolote dhidi ya Israel badala yake anaweza kutumiwa kusaidia kwa kupeleka suicide bombers kama alivyofanya Iran juzi.
 
Kwa hyo ushindi ni kurusha maroket sio? Kwn israel hawarushi mabomu?
 
Hilo hata mabwana zao Wamarekani wamekiri:

 
Acha uongo mbona hamas kitambo waliadmit wao ndo walioiga hospitali kimakosa kupitia aljazeera

Huwezi sema vyombo vimepigwa pini ni uongo tunaishi kwenye dunia ya social media huwezi control media kama zamani mfano media kama al jazeera nchi za western wanaicontrol vipi
 
Ilikuwa kosa kubwa kwa Israeli kuingiza jesh nsdani ya Gaza yanayotokea saivi ni maajabu kwa udogo wa eneo LA Gaza na uwezo wa jeshi la Israeli pamoja na washirika wake imekuwa jambo LA kushangaza sana kuwa bdo hawajawatoa hamas mashimoni
wanajeshi wa Mayahudi waliopelekwa Gaza Wamefyekwa wote. Sasa hivi hata mitaani hawaonekani.
 
Biden anapeleka fedha nyinyi bila ya kibali cha Congress kwa Israel kuepusha aibu ya kushindwa kutimiza malengo

mkuzungumza nao wanawaletea mateka waliowateka, mkitumia nguvu hampati hata nguo zao … hii ni dharau kubwa sana ya hawa wana Mgambo kwa Jeshi tulioaminishwa hawashindwi kitu

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…