Israeli yaendelea kukiwasha Lebanon licha ya onyo la Iran

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Jeshi la Israel limesema Jumanne hii limeanza operesheni za ardhini kusini-magharibi mwa Lebanon, likipanua uvamizi wake hadi eneo jipya ikiwa ni mwaka mmoja tangu IDF na Hizbollah waanzishe uhasama wa kubadilishana vichapo.

The regional tensions triggered a year ago by Palestinian armed group Hamas's attack on southern Israel have spiralled to a string of Israeli operations by land and air over Lebanon and direct attacks by Iran onto Israeli military installations.

Israel begins ground operations in southwest Lebanon as Iran sends warning

Israeli bombings.png
 
BEIRUT, Oktoba 8 (Reuters) - Jeshi la Israel limesema Jumanne hii limeanza operesheni za ardhini kusini-magharibi mwa Lebanon, likipanua uvamizi wake hadi eneo jipya mwaka mmoja baada ya kubadilishana risasi na kundi lenye silaha la Hezbollah na huku Umoja wa Mataifa ukiomba suluhu ya kidiplomasia.

The regional tensions triggered a year ago by Palestinian armed group Hamas's attack on southern Israel have spiralled to a string of Israeli operations by land and air over Lebanon and direct attacks by Iran onto Israeli military installations.
Israel begins ground operations in southwest Lebanon as Iran sends warningView attachment 3118600

Kwani Iran Ina vita Lebanon?

IMG_20241007_231554.jpg

Au wewe unaowaongelea aliowatambua papa kama wenda wazimu?

Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani
 
Nje ya kushambulia majengo kwa ndege za kivita na kufanya uharibifu mkubwa! Pamoja na kuua raia hovyo, sioni kama jeshi la Israel lina maajabu. Na huu ni mtazamo wangu.

Huo ndiyo ulio ukweli wazi lakini ulio nje ya mada.

Zingatia Iran inahusika wapi kwa minajili ya mleta mada?
 
BEIRUT, Oktoba 8 (Reuters) - Jeshi la Israel limesema Jumanne hii limeanza operesheni za ardhini kusini-magharibi mwa Lebanon, likipanua uvamizi wake hadi eneo jipya ikiwa ni mwaka mmoja tangu IDF na Hizbollah waanzishe uhasama wa kubadilishana vichapo.

The regional tensions triggered a year ago by Palestinian armed group Hamas's attack on southern Israel have spiralled to a string of Israeli operations by land and air over Lebanon and direct attacks by Iran onto Israeli military installations.
Israel begins ground operations in southwest Lebanon as Iran sends warningView attachment 3118600
Iran hana madhara kwa Israel kuliko Hamas na Hezbollah. Kitendo cha Iran kuishambulia Israe kililenga kutoa firecover kwa hivi vikundi ili Israel ihamishe attention kutoka kwenye hivi vikundi na kuielekeza Iran.
Kwa kufanya hivi vikundi hivi ndiyo vingetumika kama askari wa miguu kuivamia Israel, na ikumbukwe vikundi hivi havina kambi wala askari wake hawana utambulishe bali wanakiwa under utambulisha wa raia wa kawaida na mbaya wakitumia human shield na hata maghala yao ya silaha yakijengwa kwenye makaazi ya watu.
Kitendo cha Israel kumuweka pending Iran kimezidi kuwachanganya Iran, kwani ukiangalia mashambuli ya Israel kwa hezblollah baada ya Iran kushambulia, ukiacha kutekezea viongozi wa hezbollah, kimiundo mbinu ya vitu, na mitandao yake na silaha imekuwa na hasara kubwa sana kwa hezbollah kuliko kabla Iran hajashambulia Israel.
Kwa sasa Israel akishafikia malengo yake ya kui neutralize Hezbollah anarudi kuendelea na Iran.
 
Kwani hammas kashamalizana nao na je mateka kawakomboa au anasubiri kuangusha majengo tu.
 
Mamaaa kobazi wanaisha aisee myahudi hafai anawagonga tu kobazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
BEIRUT, Oktoba 8 (Reuters) - Jeshi la Israel limesema Jumanne hii limeanza operesheni za ardhini kusini-magharibi mwa Lebanon, likipanua uvamizi wake hadi eneo jipya ikiwa ni mwaka mmoja tangu IDF na Hizbollah waanzishe uhasama wa kubadilishana vichapo.

The regional tensions triggered a year ago by Palestinian armed group Hamas's attack on southern Israel have spiralled to a string of Israeli operations by land and air over Lebanon and direct attacks by Iran onto Israeli military installations.
Israel begins ground operations in southwest Lebanon as Iran sends warningView attachment 3118600
Habari za uhakika ni kwamba,wakimalizana na HIZBOLLAH,,,wanahamia kwa waasi wa YEMEN[HOATH].....ujueHOUTH,HAMAS na HIZBOLAR ni mikia....wakimalizana na HOATH,,,,JAMAA wa ISRAIL WANATIMBA IRAN!!!....Itapigwa vit aambavvo havijawahi kutokea,,,IRAN ndo KICHWA,,,,,unaambiwa IRAN wana hofu sana!!!! subiri muone,,,IRAN kaingia mtegoni,,,,ila bahati mbaya sana UISLAM utadhoovishwa san,,,na ufirauni utazidi
 
Vipofu wenye kuona hawaoni watoto na wanawake wanavyouliwa ambao hawana hatia .Israhell anuwa waisalmu ,wakristo na wote ama Hamas anpigana na jeshi la Israhell na kawaua wanajeshi wao pamoja na vifaru vyao .Shetani atashindwa tu .URA URAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
 
Israel ndo pekee anawaweza magaidi
Wanafuata na Kuishi Maagizo ya Mungu WAO!
👇👇
Kumbukumbu la Torati 19:20-21
20 Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

21 Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
 
Habari za uhakika ni kwamba,wakimalizana na HIZBOLLAH,,,wanahamia kwa waasi wa YEMEN[HOATH].....ujueHOUTH,HAMAS na HIZBOLAR ni mikia....wakimalizana na HOATH,,,,JAMAA wa ISRAIL WANATIMBA IRAN!!!....Itapigwa vit aambavvo havijawahi kutokea,,,IRAN ndo KICHWA,,,,,unaambiwa IRAN wana hofu sana!!!! subiri muone,,,IRAN kaingia mtegoni,,,,ila bahati mbaya sana UISLAM utadhoovishwa san,,,na ufirauni utazidi
Tatizo mpaka sasa hammas tu hajamalizana nao.
 
Back
Top Bottom