BEIRUT, Oktoba 8 (Reuters) - Jeshi la Israel limesema Jumanne hii limeanza operesheni za ardhini kusini-magharibi mwa Lebanon, likipanua uvamizi wake hadi eneo jipya mwaka mmoja baada ya kubadilishana risasi na kundi lenye silaha la Hezbollah na huku Umoja wa Mataifa ukiomba suluhu ya kidiplomasia.
The regional tensions triggered a year ago by Palestinian armed group Hamas's attack on southern Israel have spiralled to a string of Israeli operations by land and air over Lebanon and direct attacks by Iran onto Israeli military installations.
Israel begins ground operations in southwest Lebanon as Iran sends warningView attachment 3118600
Ceasefire is loadingPray for Iran is loading....
Nje ya kushambulia majengo kwa ndege za kivita na kufanya uharibifu mkubwa! Pamoja na kuua raia hovyo, sioni kama jeshi la Israel lina maajabu. Na huu ni mtazamo wangu.
Iran hana madhara kwa Israel kuliko Hamas na Hezbollah. Kitendo cha Iran kuishambulia Israe kililenga kutoa firecover kwa hivi vikundi ili Israel ihamishe attention kutoka kwenye hivi vikundi na kuielekeza Iran.BEIRUT, Oktoba 8 (Reuters) - Jeshi la Israel limesema Jumanne hii limeanza operesheni za ardhini kusini-magharibi mwa Lebanon, likipanua uvamizi wake hadi eneo jipya ikiwa ni mwaka mmoja tangu IDF na Hizbollah waanzishe uhasama wa kubadilishana vichapo.
The regional tensions triggered a year ago by Palestinian armed group Hamas's attack on southern Israel have spiralled to a string of Israeli operations by land and air over Lebanon and direct attacks by Iran onto Israeli military installations.
Israel begins ground operations in southwest Lebanon as Iran sends warningView attachment 3118600
Kwani hammas kashamalizana nao na je mateka kawakomboa au anasubiri kuangusha majengo tu.Iran hana madhara kwa Israel kuliko Hamas na Hezbollah. Kitendo cha Iran kuishambulia Israe kililenga kutoa firecover kwa hivi vikundi ili Israel ihamishe attention kutoka kwenye hivi vikundi na kuielekeza Iran.
Kwa kufanya hivi vikundi hivi ndiyo vingetumika kama askari wa miguu kuivamia Israel, na ikumbukwe vikundi hivi havina kambi wala askari wake hawana utambulishe bali wanakiwa under utambulisha wa raia wa kawaida na mbaya wakitumia human shield na hata maghala yao ya silaha yakijengwa kwenye makaazi ya watu.
Kitendo cha Israel kumuweka pending Iran kimezidi kuwachanganya Iran, kwani ukiangalia mashambuli ya Israel kwa hezblollah baada ya Iran kushambulia, ukiacha kutekezea viongozi wa hezbollah, kimiundo mbinu ya vitu, na mitandao yake na silaha imekuwa na hasara kubwa sana kwa hezbollah kuliko kabla Iran hajashambulia Israel.
Kwa sasa Israel akishafikia malengo yake ya kui neutralize Hezbollah anarudi kuendelea na Iran.
Are Hamas as strong as they once was?Kwani hammas kashamalizana nao na je mateka kawakomboa au anasubiri kuangusha majengo tu.
Ndio na ndio maana jana wameendelea kushambulia na mpaka sasa Israel imeshindwa kuokoa mateka wake.Are Hamas as strong as they once was?
Habari za uhakika ni kwamba,wakimalizana na HIZBOLLAH,,,wanahamia kwa waasi wa YEMEN[HOATH].....ujueHOUTH,HAMAS na HIZBOLAR ni mikia....wakimalizana na HOATH,,,,JAMAA wa ISRAIL WANATIMBA IRAN!!!....Itapigwa vit aambavvo havijawahi kutokea,,,IRAN ndo KICHWA,,,,,unaambiwa IRAN wana hofu sana!!!! subiri muone,,,IRAN kaingia mtegoni,,,,ila bahati mbaya sana UISLAM utadhoovishwa san,,,na ufirauni utazidiBEIRUT, Oktoba 8 (Reuters) - Jeshi la Israel limesema Jumanne hii limeanza operesheni za ardhini kusini-magharibi mwa Lebanon, likipanua uvamizi wake hadi eneo jipya ikiwa ni mwaka mmoja tangu IDF na Hizbollah waanzishe uhasama wa kubadilishana vichapo.
The regional tensions triggered a year ago by Palestinian armed group Hamas's attack on southern Israel have spiralled to a string of Israeli operations by land and air over Lebanon and direct attacks by Iran onto Israeli military installations.
Israel begins ground operations in southwest Lebanon as Iran sends warningView attachment 3118600
Okay, goodNdio na ndio maana jana wameendelea kushambulia na mpaka sasa Israel imeshindwa kuokoa mateka wake.
Wanafuata na Kuishi Maagizo ya Mungu WAO!Israel ndo pekee anawaweza magaidi
Tatizo mpaka sasa hammas tu hajamalizana nao.Habari za uhakika ni kwamba,wakimalizana na HIZBOLLAH,,,wanahamia kwa waasi wa YEMEN[HOATH].....ujueHOUTH,HAMAS na HIZBOLAR ni mikia....wakimalizana na HOATH,,,,JAMAA wa ISRAIL WANATIMBA IRAN!!!....Itapigwa vit aambavvo havijawahi kutokea,,,IRAN ndo KICHWA,,,,,unaambiwa IRAN wana hofu sana!!!! subiri muone,,,IRAN kaingia mtegoni,,,,ila bahati mbaya sana UISLAM utadhoovishwa san,,,na ufirauni utazidi