- Thread starter
- #81
Naamini katika motto ya JF, where we dare to talk openly, hivyo naheshimu mawazo ya wote, wanaokubaliana na wasiokubaliana na mada. Ila nalaumu wanaotumia matusi.
Baada ya kusoma michango mbalimbali, nimegundua kuwa watanzania bado tuna safari ndefu sana kuelekea maendeleo na chachu ya kupata uongozi bora.
Nimekuja kuhitimisha kuwa, kukosa elimu ya uraia na kutokujua maadili ya uongozi na pia wajibu na maadili ya mtumishi wa umma, ndiko kunakopelekea hata CCM kuendelea kuchukua ushindi masiku nenda masiku rudi. Kama hapa JF kisiwe kisima cha kukutanisha great thinkers tu, bali kiwe kisima cha kuzalisha hao magreat thinkers. Together WE CAN help to change Tanzania to become a better place.
Nashauri kama kuna member/s w/anaweza kuweka elimu ya uraia na maadli ya uongozi hapa jamvini, kwa kiasi kidogo tu, na tukawa tunaiupdate hiyo thread appropriately, basi nadhani tutafanikiwa kuwaelimisha na kuwafumbua macho Watanzania walio wengi. Elimu hii iwekwe kwenye jukwaa maalum ambalo members wengi wanaojiunga na ambao hawajui what JF is here for walifunze.
JF haiko kwa ajili ya kutukana, iko kwa ajili ya kuelimisha, kukosoa, kujenga etc.. Hivyo basi hapa Michuzi hatukanwi, haonewi wivu, bali ni scrunity ya kawaida kwa vile yeye ni mfanyakazi wa serikali (analipwa kwa kutumia pesa za wavuja jasho).
Over.

Last edited by a moderator: