Sasa kwanini hii hukui-post kule kwake? si ungempongezea mule mule? au unasemaje.Jamaa kala shavu bana, anachukua matukio muhimu kwa niaba ya raisi, pongezi zimwendee kwa jitihada binafsi zilizompelekea hadi akafika huko. Ninamwona raisi jakaya pale ambapo kuna tukio zuri la kihistoria huinua juu macho yake kule nyuma ishara ya kumkumbusha anko michuzi asiache kuchukua snap. He really deserves it maana nimekuwa nikifatilia blogspot yake inavyoaanza hadi leo hii ilipofikia. Kudos anko nanili
jamaa kajibidisha sana mpaka kufika hapo alipo anahitaji pongezi kwakweli,nakumbuka enzi hizo za kupiga picha mikutanoni kisha kuzipanga nje mkitoka mkutanoni mnazikuta mnanunua buku buku,ni mbali kwa kweli mpaka kufikia hapo anastahili😛oa
kwa upigaji picha tu,Muhidin I. Michuzi miaka kadhaa iliyopita amekuwa akizunguka nchi mbalimbali duniani! Marekani ndiyo usiseme.. Hilo la picha za bukubuku sidhani kama amewahi kufanya!
...Posho atazopata zitamsaidia tuza hawa wake zake