Issa Michuzi pembeni mwa rais Jakaya Kikwete

Tutake tusitake huyu jamaa umaarufu wake na mapande anayopata ni juhudi zake binafsi banaa...hamna cha kuvutwa wala nn jamaa ni mchacharikaji.....mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni....michuzi namfahamu toka enzi hizo maggot jamaa ni hardworker mwacheni ale matunda yake banaa..wasakameni mafisadi but huyu jamaa nawaomba mumpe kaheshima kidogo ka kuhangaikia life...huyu sio mtu wa kumuandama kihivyo banaa.anakula jasho lake ....
 
''....... Ninamwona raisi jakaya pale ambapo kuna tukio zuri la kihistoria huinua juu macho yake kule nyuma ishara ya kumkumbusha anko michuzi asiache kuchukua snap. ....

Usiniambie rais wetu anashughulikia mambo madogomadogo kama haya ya kusimamia upigaji picha!
 
Posho atazopata zitamsaidia tuza hawa wake zake

red42.JPG

Kwani hawa wote ni Wagandaa..?
\
 
Usiniambie rais wetu anashughulikia mambo madogomadogo kama haya ya kusimamia upigaji picha!

Nani asiyejua kuwa mambo ayapeayo uzito ni madogomadogo kuna mambo mazito yakufanyia maamuzi magumu mkuu wa kaya hafanyi, hata nisipoyataja wote mnayajua ctk kurudia maana yashakuwa nyimbo za taifa letu kila mtanzania huimba aamkapo na alalapo
 
wewe unaonekana mtoto wa leo ..hebu kwanza kakojoe ulale ukue....Michuzi kaanza kupiga picha kwanza sio hizo za buku buku ...kaanzia kupiga picha kwenye kumbi za disko hapo darisalama kwa wazee wazamani Mbowe, YMCA na Ushirika Club au Maggot huko ndo Michuzi kapata kaujuzi kakupiga picha za mia mbili mbili na alikuwa amepanga chumba kipawa......baadae akajoin kwenye magazeti ya Daily News....kiukweli jamaa ni mhangaikaji I SALUTE HIM AMETOKA MBALI....HARDWORK PAYS.....KUDOS MICHUZI.

Umesahau mkuu, alianzia kupiga picha kwenye viunga vya hostel jangwani/azania/zanaki/tambaza

Anatupiga wkend hii picha analeta wkend inayofwata
 
bwana namkumbuka sana enzi zake michuzi pale YMCA wakati huo akipiga DJ kalikali.jamaa tumpe thumb up. hardwork pays.
 
Kule haitasomeka, alafu shavu linatafutwa kupitia other social md.
Sasa kwanini hii hukui-post kule kwake? si ungempongezea mule mule? au unasemaje.
 
wewe unaonekana mtoto wa leo ..hebu kwanza kakojoe ulale ukue....Michuzi kaanza kupiga picha kwanza sio hizo za buku buku ...kaanzia kupiga picha kwenye kumbi za disko hapo darisalama kwa wazee wazamani Mbowe, YMCA na Ushirika Club au Maggot huko ndo Michuzi kapata kaujuzi kakupiga picha za mia mbili mbili na alikuwa amepanga chumba kipawa......baadae akajoin kwenye magazeti ya Daily News....kiukweli jamaa ni mhangaikaji I SALUTE HIM AMETOKA MBALI....HARDWORK PAYS.....KUDOS MICHUZI.

Sio kwenye kumbi tu, michuzi alikuwa anapiga picha hata kwenye kipaimara na birthday, niliisoma hiyo historia yake nadhani ni hapahapa jf au kwenye blog ya Makirita Amani.
 
Last edited by a moderator:
wewe unaonekana mtoto wa leo ..hebu kwanza kakojoe ulale ukue....Michuzi kaanza kupiga picha kwanza sio hizo za buku buku ...kaanzia kupiga picha kwenye kumbi za disko hapo darisalama kwa wazee wazamani Mbowe, YMCA na Ushirika Club au Maggot huko ndo Michuzi kapata kaujuzi kakupiga picha za mia mbili mbili na alikuwa amepanga chumba kipawa......baadae akajoin kwenye magazeti ya Daily News....kiukweli jamaa ni mhangaikaji I SALUTE HIM AMETOKA MBALI....HARDWORK PAYS.....KUDOS MICHUZI.

Sio kwenye kumbi tu, michuzi alikuwa anapiga picha hata kwenye kipaimara na birthday, niliisoma hiyo historia yake nadhani ni hapahapa jf au kwenye blog ya Makirita Amani. Kwahiyo inaonesha jamaa ana kipaji cha hiyo kazi ya kupiga picha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom