Mauza uza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2008
- 2,094
- 1,366
Tutake tusitake huyu jamaa umaarufu wake na mapande anayopata ni juhudi zake binafsi banaa...hamna cha kuvutwa wala nn jamaa ni mchacharikaji.....mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni....michuzi namfahamu toka enzi hizo maggot jamaa ni hardworker mwacheni ale matunda yake banaa..wasakameni mafisadi but huyu jamaa nawaomba mumpe kaheshima kidogo ka kuhangaikia life...huyu sio mtu wa kumuandama kihivyo banaa.anakula jasho lake ....