Isssue ya Diamond ni Miguu tu

Isssue ya Diamond ni Miguu tu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Watu baadhi Wanasema Jamaa amekonda Ila kiufupi hii issue yake jamaa yupo busy Sana so tuendelee kumsapoti Nakumpa constructive criticism


The guy is really hustler
IMG_20231029_172133_174.jpg
 

Ila wabongo dah unazani ni mashine hiyo kwamba hachok ?kuna clip alitoa kuonesha jinsi gan alivyokua busy alitoka kwenye show yao ya wasafi hata hakulala akaitwa zenji kwenye harusi hapo alitokea mtwara aende Dar kuchukua nguo aende kwenye harusi zenji hata kula hakula vizur just soda na keki sijui afu akarud kuendelea na show kusini huko tena hapo bora ana mwewe umemrahisishia kazi ,,,hivyo vyote utegemee asichoke,asipungue,,,,msemeni ila hamuez kumfikia mafanikio yake,,,jamaa yupo busy kuingiza mpunga!
 
Dah, mi nnapiga picha nyingiii saivi vyenye nipo kawaida sina stress za utajiri wala nn.

Nitapokuwa tajiri nikanenepa mkanizoea hivyo. Itafika wakati ntauzoea utajiri utakuwa new normal basi mwili utapungua mkisema amekuwajee nnawaambia hii ndo normal sasa ona picha zangu za zamani mimi ndo huyu sasa.

Nakumbuka Dimondi alikuwaga mwembamba akapata hela akajenga body (sijui ni gym au alidoppe pia sijui). Labda sasa ivi anairudia asili yake sasa ile ya Tandale boy. Mtafute dimondi wa mbagalaa ulinganishe
 
Back
Top Bottom