Superfly
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 985
- 2,066
We zombie!!! Haujuiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We zombie!!! Haujuiii
Sembe hiyo wewe. Acha ushambaIla wabongo dah unazani ni mashine hiyo kwamba hachok ?kuna clip alitoa kuonesha jinsi gan alivyokua busy alitoka kwenye show yao ya wasafi hata hakulala akaitwa zenji kwenye harusi hapo alitokea mtwara aende Dar kuchukua nguo aende kwenye harusi zenji hata kula hakula vizur just soda na keki sijui afu akarud kuendelea na show kusini huko tena hapo bora ana mwewe umemrahisishia kazi ,,,hivyo vyote utegemee asichoke,asipungue,,,,msemeni ila hamuez kumfikia mafanikio yake,,,jamaa yupo busy kuingiza mpunga!
Sembe hiyo wewe. Acha ushamba
Eee tunamuuzia mmkoWewe ndio unamuuzia nini
Keshayabananga madude yake hap
Keshayabananga madude yake hap
kwenye miguu?Si avae shati??