Isssue ya Diamond ni Miguu tu

Isssue ya Diamond ni Miguu tu

Ila wabongo dah unazani ni mashine hiyo kwamba hachok ?kuna clip alitoa kuonesha jinsi gan alivyokua busy alitoka kwenye show yao ya wasafi hata hakulala akaitwa zenji kwenye harusi hapo alitokea mtwara aende Dar kuchukua nguo aende kwenye harusi zenji hata kula hakula vizur just soda na keki sijui afu akarud kuendelea na show kusini huko tena hapo bora ana mwewe umemrahisishia kazi ,,,hivyo vyote utegemee asichoke,asipungue,,,,msemeni ila hamuez kumfikia mafanikio yake,,,jamaa yupo busy kuingiza mpunga!
Sembe hiyo wewe. Acha ushamba
 
Kuna kipindi alikuwa anafanya mazoezi kwa Zola d, au aliachaga kwenda kwenye mazoezi.?
 
Back
Top Bottom