Dah, mi nnapiga picha nyingiii saivi vyenye nipo kawaida sina stress za utajiri wala nn.
Nitapokuwa tajiri nikanenepa mkanizoea hivyo. Itafika wakati ntauzoea utajiri utakuwa new normal basi mwili utapungua mkisema amekuwajee nnawaambia hii ndo normal sasa ona picha zangu za zamani mimi ndo huyu sasa.
Nakumbuka Dimondi alikuwaga mwembamba akapata hela akajenga body (sijui ni gym au alidoppe pia sijui). Labda sasa ivi anairudia asili yake sasa ile ya Tandale boy. Mtafute dimondi wa mbagalaa ulinganishe