Issue si kusitisha zoezi la kuwahamisha wamasai Ngorongoro, Issue ni je motive behind kuwahamisha ameisitisha?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!

Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For example DP world anaweza kuisitisha? Consequencies ni zipi?
 
Usiwe na papara
 
Kwani nini hutoka ukiuziwa Mali ya ukoo na dalali bila kushirikisha Wana ukoo?

Waliouziwa Ngorongoro wahesabu wametapeliwa.
 
Kama tumepatwa kwenye taasisi ya urais basi ni kipindi hiki.....wabunge tuliolazimishiwa kuwa wawakilishi kama vile hawapo!
 
Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!

Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For example DP world anaweza kuisitisha? Consequencies ni zipi?
Ahadi ni deni, sijui kama watakubaliana naye au watataka mpunga wao urudishwe.
 
Retired sisi haituhusu kama walishakula mlungula, kikubwa tumepaza sauti na imesikika.

Kuhusu Dp world kifuatacho kinafurahisha na kuchekesha sana.

Relax mkuu, mwisho wao umefika. Amini kwamba tumeshinda vita na tutaendelea kushinda
Kwetu ni kushukuru kadiri tuwezavyo mengine yatafanywa na mamlaka iliyopo juu ya mamlaka zote.
 
Kama alishawaahidi waarabu kuwapà Ngorongoro, inawezekana bado akawa na nia hiyo, lakini kwa kile wamasai walichofanya, naamini sasa ameona ugumu wa kutimiza nia yake hiyo.
 
Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!

Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For example DP world anaweza kuisitisha? Consequencies ni zipi?
That’s it !
Naona mihela mihela ya kulipia faini za kuvunja mikataba tunazo za kutosha !
As long as alivyosema Mwigulu hakuna mtu atafuatwa nyumbani kwake alazimishwe kulipa deni !
Naona iko poa tu !
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!
🙏🙌
 
Uonevu na uovu ule ulikuwa mbaya sana!
tatizo kuna mijitu inaunga mkono huu uovu bila kujua kwanini wanafukuzwa na lengo ninini!
Leo ni wamasai kesho ni kwenu nyie mambumbumbu
 
Hapo wanatuliza joto la uchaguzi wa 2025, lakini kama taifa tukifanya kosa kumrudisha huyo bibi serikalini hao wamasai watafukuzwa kama mbwa koko soon after 2025.
 
Naona mihela mihela ya kulipia faini za kuvunja mikataba tunazo za kutosha !
As long as alivyosema Mwigulu hakuna mtu atafuatwa nyumbani kwake alazimishwe kulipa deni !
Naona iko poa tu !
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!
Je wewe uliona ni kauli ya waziri kuwaambia wananchi walipa kodi?
 
Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!

Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For example DP world anaweza kuisitisha? Consequencies ni zipi?

Wamasai wasidanganyike wakafikiri yameisha. Ninavyojua Tanzania yetu, huwa hawakubali kushindwa jambo na mwananchi wa kawaida.

Kitakachofuata baada ya mambo kutulia, ni kuwa kata viongozi na baadhi kupoteza. Watatishwa nyumba kwa nyumba mpaka wahame wenyewe. Pesa ya Mwarabu haitawaacha salama.

Kama Maza hakusitisha deal la Bandari, sioni kama atasurrender kwenye hili.
 
Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!

Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For example DP world anaweza kuisitisha? Consequencies ni zipi?
Watu wanataka madini
 
Hata siku moja mwizi hawezi acha daima!! mkono mrefu wa mwizi haufupishwi!
 
Kama tumepatwa kwenye taasisi ya urais basi ni kipindi hiki.....wabunge tuliolazimishiwa kuwa wawakilishi kama vile hawapo!
Wale ni jumuiko la chawa, ni 2% ya wabunge ambao wako pale kwa ajili ya wananchi
 
Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!

Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For example DP world anaweza kuisitisha? Consequencies ni zipi?
Umewaza mbali mkuu.
 
Kama tumepatwa kwenye taasisi ya urais basi ni kipindi hiki.....wabunge tuliolazimishiwa kuwa wawakilishi kama vile hawapo!
Mimi nawaita "takataka" kwa sababu hawakidhi haja yoyote....
 
Retired sisi haituhusu kama walishakula mlungula, kikubwa tumepaza sauti na imesikika.

Kuhusu Dp world kifuatacho kinafurahisha na kuchekesha sana.

Relax mkuu, mwisho wao umefika. Amini kwamba tumeshinda vita na tutaendelea kushinda
Kwetu ni kushukuru kadiri tuwezavyo mengine yatafanywa na mamlaka iliyopo juu ya mamlaka zote.
asante sana!
 
Back
Top Bottom